Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

Nikimuangalia Jokate na huyu mama naona falsafa yao kiuongozi ni moja tu wamejikita ktk kujibrand zaidi kuliko kukaa na kufanya

Nikimuangalia Jokate na huyu mama naona falsafa yao kiuongozi ni moja tu wamejikita ktk kujibrand zaidi kuliko kukaa na kufanya kazi
Tokea aingie kazi yake ni kuandaa matamasha tu! Hapo akimaliza kuongea nao utasikia karbuni chakula!
 
Kumbe ni mwendo wa maswali
 
Sometime katika huo mkutano watamwambia serikali itoe matangazo private na wao wapate hela za kujiendesha.

Hiyo ndio Tanzania mtu anaenda shule au anaanzisha biashara, baadae asipota ajira ya serikali au tender za serikali; raisi au waziri hafai.
Jamaa yenu alikuaga na roho mbaya Sana,kayanyima matangazo magazeti yanayomkosoa then akayapa matangazo magazeti ya musiba yenye thamani ya tsh.100mil.

Ile kichwa ilikua na shida Sana.
 
Huyu jamaa sijui kama amealikwa. Namkumbuka kwenye kikao kama hiki na Mwendazake alimpiga swali ambalo hakuna aliyekuja kuthubutu kuuliza swali gumu kama hilo
 
Hivi ni nani aliwaambia Bavicha kuwa MATAGA hawamtaki mama?

Naona wameingia kichwachwa kwamba ccm hawamtaki mama hivyo wanadhani wakimshangilia sana mama basi watakuwa wameuwa legacy ya Magufuli bila kujua kuwa mama mwenyewe ni legacy ya Magufuli!

Hiyo ni mbinu ya kurudi nyuma na kutengeneza V huwa inatumiwa sana hata kwenye vita, yani mnarudi nyuma kama mmeshindwa alafu adui anaingia ndani ya fensi.

Hii mbinu iliyobuniwa na MATAGA ya kuwaingiza mkenge BAVICHA wote mhamie ccm na kusifia alafu mwishoni mwa 2025 mfyatuliwe wote.

Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.

Ccm itaendelea kupeta.

Chadema wote wanashangilia na kuitaja ccm kwa siku mara nyingi zaidi kuliko wanavyoitaja Chadema.

Hongereni sana MATAGA kwa kubuni mbinu hii mtashinda kila kitu kirahisi sana.
 
Nimepata kuduwaa baada ya Mhariri mmoja kupewa nafasi ya kuuliza swali yeye anauliza kuhusu nafasi za uteuzi kwa vijana wa CCM.

Hivi siku 100 za Rais kuongoza nchi wewe kama mhariri unaenda kuhoji uteuzi, kwamba rika mbalimbali huko CCM hupambana kuhakikisha chama kinashinda ila baada ya uchaguzi wanateuliwa vijana!! Nimeona aibu sana
 
Tokea aingie kazi yake ni kuandaa matamasha tu! Hapo akimaliza kuongea nao utasikia karbuni chakula!
Yule mwingine yeye akitoka kwny mkutano na waandishi wa habari tu kifuatacho utasikia mtu ametekwa.
 
Back
Top Bottom