Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Mtupe update ya kinachoendelea wakuu.[emoji23]
Maswali kiukweli hayaelewekii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtupe update ya kinachoendelea wakuu.[emoji23]
Hayo hayo. Njaa kali.😂 😂 😂 😂
Hebu funguka kidogo mkuu, ni ishu za matangazo amah!
Ni wakati wa maswali sasa.... mengi ni ya kawaida kama kuvungulia magazeti, covid 19...Tupeni updates basiiii
Nimepata kuduwaa baada ya Mhariri mmoja kupewa nafasi ya kuuliza swali yeye anauliza kuhusu nafasi za uteuzi kwa vijana wa CCM.
Hivi siku 100 za Rais kuongoza nchi wewe kama mhariri unaenda kuhoji uteuzi, kwamba rika mbalimbali huko CCM hupambana kuhakikisha chama kinashinda ila baada ya uchaguzi wanateuliwa vijana!! Nimeona aibu sana
Yaani unataka lile bunge la nduguyai linalodai nyongeza ya mshahara liendelee kubaki? Au bunge lisiwepo kabisa kwani yeye anatosha? Sijakuelewa ati!Ndio maana tumepanga kuandamana nchi nzima ili uchaguzi mkuu 2025 usifanyike. Bora hela za uchaguzi zitumike kujenga shule, barabara au vyuo vikuu.
Huyu ni bosi wa PPR.Kwani Pascal Mayalla ni Mhariri wa chombo gani cha habari? Hawezi kuwepo hapo bhana! Hivi hata kipindi kile sijui aliingia kwa kutumia wadhifa gani!!
Angehudhuria, bila shaka angemtwanga MAMA swali gumu kuhusu Kurejeshwa kwa Mchakato wa Katiba Mpya.
Hakuna mwenye uwezo wa kuuliza maswali...we are rebranding nchi yetuAnahutubia ama anaulizwa maswali?
Tunasubiri majibu!!Bravo mwandishi wa clouds kauliza swali kuhusu ripoti ya upotevu wa fedha BoT
Duh! Hivi hao wanaojiita wahariri hawajui nafasi kama hizo ni adimu kupatikana hivyo zinapaswa kutumiwa ipasavyo!?Maswali kiukweli hayaelewekii
Sikutegemea na uzee wake ule angeongea jambo la ajabu kama lile. Ameuliza swali la ajabu hafananii kuwa mhariri hata kwenye gazeti za shule.Someone majula daaaah kaniacha hoi anawaza teuzi kwenye mambo ya msingi
Wewe ni mpumbavu kabisa.Bora wangempa Pasco udc kuliko hawa takataka Niki wa 2,Msando na Lijualikali
Kuna mmoja ameuliza vizuri sana, ile kamati ya BOT itatoa taarifa lini?Pascal Mayalla itakuwa kanyimwa kibali Cha kuingia ikulu. Wanajua huyu ndiyo angeuliza swali.
Naona waandishi wote waliopo wanajikomba. Hakuna hata mmoja aliyeuliza swali.
Pascal Mayalla uko wapi???