FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mbona swali jepesi sana hilo linakufanya ughadhibike?Maswali gani haya sasa halafu ukijibiwa accordingly uanze kulialia kuwa unatukanwa.
Unasema umesikitika, nakuuliza baada ya kusikitika ikawaje? Au umeleta hapa tukuhurumie masikitiko yako?
Kama swali hilo limekuudhi nikuulize, kipi kikusikitishacho?