Rais Samia alijifunza nini akiwa Makamu M/Kiti wa Bunge la Katiba 2014?

Maswali gani haya sasa halafu ukijibiwa accordingly uanze kulialia kuwa unatukanwa.
Mbona swali jepesi sana hilo linakufanya ughadhibike?

Unasema umesikitika, nakuuliza baada ya kusikitika ikawaje? Au umeleta hapa tukuhurumie masikitiko yako?

Kama swali hilo limekuudhi nikuulize, kipi kikusikitishacho?
 
Swain wewe
 
Hilo wala lisikusikitishe, tunawafahamu mkikosa hoja mnaanza viroja.

Punguwani wahed.
Hoja gani? Si ulitaka kujuwa baada ya kusikitika ikawaje?

Swali lako la kipunguwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…