Rais Samia alikuwa Arusha kuhudhuria miaka 40 ya Sokoine: Je, kwa nini kapotezea Msiba mkubwa watoto wa shule kuzama kwenye Maji?

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
3,436
Reaction score
7,955
habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais!

miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine?

Je Arusha sioe sehemu ya Tanzania? kweli jaman ndio tunakoelekea ni huku kweli?
 
Una maana hao watoto wametolewa kafara?
 
Ajali zimeshazoeleka sasa
 
Watu wa muhimu hii nchi ni wanasiasa walio madarakani wengine tunasindikiza.
Wakifa wao tutawakumbuka hata miaka 40 ijayo lkn watu wengine hata wafe Leo walaa haitugusii! Nikawaidaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…