Rais Samia alikuwa na dhamira thabiti na maridhiano lakini intensive internal pressure ikamtoa kwenye Reli

Hii ndiyo sababu kubwa ya maridhiano kushindikana na kukwama kwa Katiba mpya.

Mama ABDUL hawezi kuachia kiti kimponyoke 2025 .... Na baada ya hapo anamkabidhi Hussein Mwinyi.
Mbona hataki kwenda kuongoza kule kwao Zanzibar? sisi tumemchoka
 
Hakuna cha maridhiano ya kweli bila ya Upatikanaji wa Katiba Mpya iliyo nzuri.
 
Nakubaliana na wewe, ila ni wahafidhina wa pande zote mbili hata wahafidhina wa Chadema nao walichangia maridhiano yaishie njia panda.
 
Most Likely
 
Si kweli, ukiwa na dhamara ya kweli itabaki kweli bila kupinda.
 
We mwandishi uchwara unawezaje kuhoji u smartness wa Lisu what did you achieve in your career beyond leading a family?
 
Nakubaliana na wewe, ila ni wahafidhina wa pande zote mbili hata wahafidhina wa Chadema nao walichangia maridhiano yaishie njia panda.
Pesa iliingia vipi? Hao wafafidhina ndio walisema mpokee pesa?
Ukishapokea pesa hakuna tena Cha maana utachokuridhiana na mtu zaidi utafata anachotaka

Viongozi wako wa chama unaosema walikua na dhamira ndio hao waliongozana kwa lissu kumshawishi akubali kuchukua pesa
 
Kama unaandika kiswahili tu na kama kingereza tu u.mekuwa kama mlevi anaye anza kulewa unachanganya lugha ni ushamba uliotamalaq mbele ya jamii!
jf ni both,social media na mainstream media。JF as social media,watu tuko huru kutumia lugha yoyote including slang na kuchanganya lugha kiswanglish。 JF as mainstream media ndio inatumia lugha moja iliyo nyooka, kama ni Kiswahili ni Kuswahili,kama kizungu ni kizungu。
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…