Rais Samia alikuwa na dhamira thabiti na maridhiano lakini intensive internal pressure ikamtoa kwenye Reli

Rais Samia alikuwa na dhamira thabiti na maridhiano lakini intensive internal pressure ikamtoa kwenye Reli

Hii ndiyo sababu kubwa ya maridhiano kushindikana na kukwama kwa Katiba mpya.

Mama ABDUL hawezi kuachia kiti kimponyoke 2025 .... Na baada ya hapo anamkabidhi Hussein Mwinyi.
Mbona hataki kwenda kuongoza kule kwao Zanzibar? sisi tumemchoka
 
1. Kuna lawama zimekuwa zikielekezwa kwa Mbowe kukubali maridhiano.

Naamini Rais Samia alikuwa na conviction kubwa kuwa na maridhino, lakini wahafidhina (conservatives) ndani ya chama chake wakamzidi nguvu and being manamke aka succumb to internal pressure.

2. With time naye Samia madaraka yakawa matamu na ku develop internal, highly internalised presidential supremacy and she became supreme aggressive of power, ndiyo hali inayowapoteza watanzania/watanganyika wenzetu leo so as to consolidate power!

3. All human beings tunaingi kwenye ndoa na mapenzi makubwa, lakini baadaye ndoa zinavunjika. Huwezi kumlaumu mtoto kuwa kwanini ulijiingiza kwenye ndoa! Tuna tabia ya kuficha uhalisia wa ndani yetu tunapokuwa wageni kwenye jambo lolote.

With time uhalisia wa ndani ya mioyo yetu huja baadaye.
Likewise, Mbowe asingeliweza kukataa wito wa Samia kuwa njoo tuzungume tukoke kwenye mkwamo wa mtangulizi wangu! ASILAUMIWE MTU

4. WE LEARN THROUGH MISTAKES
Hakuna cha maridhiano ya kweli bila ya Upatikanaji wa Katiba Mpya iliyo nzuri.
 
Nakubaliana na wewe, ila ni wahafidhina wa pande zote mbili hata wahafidhina wa Chadema nao walichangia maridhiano yaishie njia panda.
 
Most Likely
 
Si kweli, ukiwa na dhamara ya kweli itabaki kweli bila kupinda.
 
Mkuu Retired ,kwanza, thanks for this, threads kama hizi, ndizo za ile jf ilee, tuliojiunga nayo, jf ya the home of great mind watu, ma GT, wenye analytical minds wanao discuss ideas VS ya hii jf ya sasa ya ma simple minds na ma chawa waliotamalaki humu kazi yao ku discuss people, na ordinary minds wanao discuss events, thanks!

Tukija kwenye mada,ni kweli FM sio tuu analaumiwa kukubali muafaka, bali anatukanwa na TL kwa matukano ya reja reja, kama hivi
View: https://youtu.be/Qa59DIQs2yI?si=9Whiknznl-mMT3JJ, huyo anayeuliziwa kama ana akili kweli ni FM!,maridhiano ya nusu mkate anayaita ujinga ambayo ni sawa na kumtukana FM mjinga!。Niliwauliza Chadema wa humu Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

very true

very true, this mean this is a weakness!, she is simply weak!, baada ya watu kama akina sisi kuligundua hili,yeye aliposhauri 2025 twende na mwanamke, tulimuunga mkono ila tukaweka na angalizo,Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! lakini kwa vile tumeisha anza kuona some early signs of weaknesses at 64 , what will it be like at 70 ile 2030?。 Sisi wengine wenu humu tume jaaliwa na kubarikiwa kuwa na talanta ya an eagle eye view,hili ni jicho linaloona very long distance,hivyo siku zote akiwa nyumbani she walks very short distances,tukiwa nae kule Dubai, kwenye Expo Dubai,kuna kitu nili observes,ila kuna vitu hata ukiona utaanzaje kumwambia madam you are too weak kwa the task ahead of you?!, the best way ni kumshauri tena kumshauri kistaarabu kabisa kwa kutumia lugha ya kiungwana kabisa kama HII

I too noted this,na nikajitolea kuendelea kumsaidia nikaeleza humu Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!

very true

Naunga mkono hoja FM asilaumiwe kabisa kwasababu yeye FM ni mtu wa shukrani,anakumbuka fadhila ,wakati akipitia magumu yale,akina sisi tulimshauri kitu Madam,Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?, na kweli baada ya ushauri huu, haikupita muda,Maza akafanya jambo na tukapongeza Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito! hata ungekuwa wewe ndie FM, baada ya kutendewa wema mkubwa kama huo, utakosaje shukrani?。
Baada tuu kuachiwa alikwenda ikulu kushukuru na kule akalia shida ya ukata,akasaidiwa ndio Chadema wakafanya kikao cha Baraza Kuu, wakasaidiwa fedha za ziara ya nje ya nchi。 Utashindwaje kumuamini mtu kama huyu?。

Hivyo FM alipojuta kumuaminia Rais Samia,tulimpooza na kumweleza, vitu vingine sio Samia,ni wahafidhina wa CCM!Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!
p

We mwandishi uchwara unawezaje kuhoji u smartness wa Lisu what did you achieve in your career beyond leading a family?
 
Nakubaliana na wewe, ila ni wahafidhina wa pande zote mbili hata wahafidhina wa Chadema nao walichangia maridhiano yaishie njia panda.
Pesa iliingia vipi? Hao wafafidhina ndio walisema mpokee pesa?
Ukishapokea pesa hakuna tena Cha maana utachokuridhiana na mtu zaidi utafata anachotaka

Viongozi wako wa chama unaosema walikua na dhamira ndio hao waliongozana kwa lissu kumshawishi akubali kuchukua pesa
 
Kama unaandika kiswahili tu na kama kingereza tu u.mekuwa kama mlevi anaye anza kulewa unachanganya lugha ni ushamba uliotamalaq mbele ya jamii!
jf ni both,social media na mainstream media。JF as social media,watu tuko huru kutumia lugha yoyote including slang na kuchanganya lugha kiswanglish。 JF as mainstream media ndio inatumia lugha moja iliyo nyooka, kama ni Kiswahili ni Kuswahili,kama kizungu ni kizungu。
P
 
Back
Top Bottom