Rais Samia alimtumbua DED Msongela Nitu Palela kwa utendaji na usimamizi mbovu na Ufisadi, leo amemteua Palela Msongela Nitu

Naamini hapa kuna makosa ktk teuzi mpya, lazima utasikia atamtoa, jamani, Mh. Rais ni binadamu kama sisi, hivyo makosa kwa bahati mbaya anaweza kufanya, naamini hili atarekebisha na kumtoa kabisa.
 
Hivi watu wazima na ndevu zao wanakubalije kazi za kuteuliwa, kutumbuliwa na kuhamishwa anytime as though hawana maisha mengine? Huwa Nashangaa zaidi Hilo kuliko hizi teua tengua.
Upo sahihi Kwa Upande huo.... Haya unapoteuliwa Sasa kwann usiwawajibikie Watu wako?
 
Kawawa royal family inaendelea na status ago yao,shukraani kwa babu yao aliyewasafishia njia,naona wajukuu sasa wameshaanza kupanda!but why tunalalama humu kwenye soft landing hii?
 
Naamini hapa kuna makosa ktk teuzi mpya, lazima utasikia atamtoa, jamani, Mh. Rais ni binadamu kama sisi, hivyo makosa kwa bahati mbaya anaweza kufanya, naamini hili atarekebisha na kumtoa kabisa.
Hilo ni zaidi ya kosa, uteuzi huwa inafanyika vetting. Pia list kabla haijatoka inapitiwa

Kama kosa hilo wameshindwa kuliona, vipi mengine makubwa?
 
SI mnaona chalamila aliwahi kutumbukiwa,baada ya muda wakasahau kama walimtumbua
 
Naamini hapa kuna makosa ktk teuzi mpya, lazima utasikia atamtoa, jamani, Mh. Rais ni binadamu kama sisi, hivyo makosa kwa bahati mbaya anaweza kufanya, naamini hili atarekebisha na kumtoa kabisa.
Hivi ww uko sawa kweli jamaa?!! Yani taasisi kubwa km Raisi ifanye makosa ya kuwasahau watumishi waliotumbuliwa kisha kuwarudisha upya,ndo kusema sio yeye anaowateua ama?! Kwmb alivoona majinga mengi katia saini tu fresh
 
Hakika, sisi ngozi nyeusi ni wajinga sana
 
Kuna barua inakuja kabla ya kuapishwa watu. Ndiyo maana wanatangazwa majina yao kabla ya kuapishwa. Tuendelee kumsaidia Rais kuyachambua, wala rushwa wanachomeka watu wao. Na mie nimembaini mwizi fulani naandaa ushahidi, nitarudi.
Wacha tuone
 
Wacha tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…