Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Hiyo commission ni siri ya familia yake?Rais Samia amsema natoa pole kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao kwenye vurugu siku ya uchaguzi na serikali imeunda tume ya kuchunguza yaliyotokea ili kujua kiini cha taizto na taarifa hizo itatuongoza kwenye mazungumzo ya amani.
Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye biblia Yesu akisema "Hawajui walitendalo" hivyo nao wasamehewe😂🤬🥵Rais Samia amsema natoa pole kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao kwenye vurugu siku ya uchaguzi na serikali imeunda tume ya kuchunguza yaliyotokea ili kujua kiini cha taizto na taarifa hizo itatuongoza kwenye mazungumzo ya amani.
Huyu mtoto mdogo alifariki kwa kosa gani ?Rais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko. Akisema yeye binafsi ameumia sana.
Amessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema matokeo yake yatatumika kongoza maridhiano.
Wasanii kazini.. Mbona hili halikufanyika siku ya kuapa?Rais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko. Akisema yeye binafsi ameumia sana.
Amessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema matokeo yake yatatumika kongoza maridhiano.
Ina maana vijana ni makuhani wa kiyahudi afu na yeye messiah eee - kosa la kuua halimuhusu...Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye biblia Yesu akisema "Hawajui walitendalo" hivyo nao wasamehewe😂🤬🥵
Huyu Mwigulu nimekaa nae mara nyingi naweza kusema ni tapeli wa maneno mazuri ila angalia matendo yakeLeo kajitahidi kuweka kiburi pembeni. Itakuwa hapo kapikwa mpaka. Maana kwa akili yake angetoa maneno ya shombo bado. Sasa akili zinawaingia kuwa wenye nchi ni wananchi. Walijawa na viburi hawa wakajiona wao ndio wako juu ya wananchi. Jana Mwigulu anaanza story ya kubeba zege, sijui nini, ali mradi sasa wanajidai ni wanyonge wako pamoja na wananchi. Hatukubali maigizo. Tunahitaji mabadiliko ya kweli, ya dhati. Mmeshatubagaza vya kutosha. Hatuelewi kitu sasa hivi.
Tanzania Inaitaji reforms kila sehemu hata kiti cha Rais kinaitaji Rerfoms huwezi kusema Tuna JWTZ huwezi kusema tuna Tiss tasisi zote zimewekwa mfukoni na wahuni huwezi kusema tuna mahakama tungekua na Mahakama Lissu angekua uraiani kitambo tungekua na JWTZ wananchi wasingefika hatua ya kuwindwa kama wanayama Tungekua na Tiss tusingefika hapa tulipo fikaPamoja na yote bado anaona anaona wahanga ni wahalifu 😢
nakumbuka Mobutu aliwai fanya hv hv kumuenz Lumumba wkt yeye ndo alimuuzaRais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko. Akisema yeye binafsi ameumia sana.
Amessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema matokeo yake yatatumika kongoza maridhiano.