johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Tangu aondoke Jackson Makweta hatujawahi kupata Waziri makini wa ElimuJaribu kumsitua huyo mwenyekit wenu,
Mwambie wafuasi wake kila wakisimama wanaongelea madarasa yalijengwa!
Wenye akili wanauliza, inashindikana vipi kujenga majengo ya ghorofa?
Eneo moja utakuta shule zaidi ya nne. Utasikia hii inaitwa maziwa, ile inaitwa maandazi, ile sikukuu nk.
Majengo yametapakaa ovyo!
Lowassa akikusoma hapa atacheka mno
Ni mjinga tu anayeamini Tanzania kuna vyama Vya Upinzani chini ya Mtungi
Huyo Magufuli kama unavyojiita 2020 alijichagua na kuchagua Wabunge wote hadi akina mama wa Chadema na CUF dadeki🐼
Hatushindanishi Watu tunashindanisha Ilani za VyamaHuyu SSH angesimama kuomba kura ya Urais yeye kama yeye 2015, 2020 CCM ingekuwa imeshatolewa Madarakani.
Ni zipi Sera zake, mipango yake, maono yake, mikakati yake, uthubutu wake? Yupo pale kufanya nini kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania?
Vijana wa taifa hili ni bendera fuata upepo,si wazalendo wa taifa lao isipokuwa ni njaa tu.Siyo kwamba mnatetea urais kwa kupenda. Samia ndiye kashika rungu la uenyekiti, hivyo anaamrusha nn kifanyike.
Pia mkono mwingine kashika panga ra urais. Ukikataa kutekeleza anachokitaka anakushughulikia.
Ccm mnaburuzwa
Watanzania mko wajinga sanaWewe ndio mjinga kabisa. Unadai hakuna upinzani wakati uchaguzi ulifuatwa zenji 2015. Kama hakuna upinzani uchaguzi ulifutwa wa Nini na kujaza JWTZ hapa Zanzibar. Unadai hakuna upinzani wakati magufuli alipata asilimia 57 ya kura zote Tena wizi ikiwemo halafu unadai hakuna upinzani. Punguza unafiki.
Wewe sema unafurahia CCM kutumia madaraka kuinfluence matokeo ya uchaguzi.
Hata ukimfufua atakufa tena. Tanzania iko salama mikononi mwa Rais Samia
Bora wafakufanyie hivyo ubaki unapumua... wakiona unazingua wanakulambisha udongo kabisausipozibwa mdomo Kwa uteuzi basi utazibwa mdomo jumla na Nec Kwa kufutwa uanachama.
Ni mpumbavu tu atakayekuelewa.Binafsi nilishangaa sana kumsikia Komredi Kinana akizungumza suala la Fomu Moja kana kwamba ndio anatoa Mwongozo
CCM kupitia mkutano mkuu wa taifa ilishamchagua kwa Kura Dr Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030
2025 ni wakati wa Vyama Vya Upinzani kujaribu bahati yao kama wataweza kumtoa kwa kura halali za Wananchi
2025 Sisi CCM Jukumu letu ni kutetea urais Wetu wa JMT unaoshikiliwa na Mwenyekiti Wetu Dr Samia kwa kuwahimiza Wananchi watuunge mkono
Happy New Year
Labda unamwambia KinanaNi mpumbavu tu atakayekuelewa.
Miaka nenda rudi utaratibu wa ccm ni kuwa mwenyekiti ndiye anayeshika urais, sasa ujinga wa kuanza kujifanya unatabiri ni upumbavu wa kiwangk cha lami
Hiki ndicho alichofafanua vyema ndugu Bams kwenye uzi wake mmoja.Ndugu Samia Suluhu alipitishwa mwaka 2022 na MM Taifa kuwa Mwenyekiti Taifa wa CCM baada ya nafasi hiyo kuwa wazi kutokana na kifo cha JPM. Lakini kuhusiana na suala la urais wake hakuna kikao chochote kile kimewahi kumpa idhini ya kugombea nafasi hii.
Si kikao cha KK, Halmashauri Kuu ya Taifa wala MM Taifa wa chama chake kimewahi kufanya hivyo. Aliyepewa ridhaa hiyo na vikao hivi ni JPM. Sijui katiba ya CCM inasemaje kuhusiana na hili, lakini mimi naona ni kinyume hata na mila na utamaduni wao.
Mwaka 2015 zilitolewa fomu nyingi, mwaka 2020 ilitolewa fomu moja ili kumpisha JPM amalizie awamu yake. Sasa 2025 zinapaswa zitolewe nyingine nyingi ili makada wapimane ubavu kwa ajili ya kumpata yule anayekubalika zaidi. Acheni uoga, kama Samia anakubalika sana ndani ya chama chake, basi si aache taratibu zichukue mkondo wake!
Uchaguziulikuwa wa HAKI?Binafsi nilishangaa sana kumsikia Komredi Kinana akizungumza suala la Fomu Moja kana kwamba ndio anatoa Mwongozo
CCM kupitia mkutano mkuu wa taifa ilishamchagua kwa Kura Dr Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030
2025 ni wakati wa Vyama Vya Upinzani kujaribu bahati yao kama wataweza kumtoa kwa kura halali za Wananchi
2025 Sisi CCM Jukumu letu ni kutetea urais Wetu wa JMT unaoshikiliwa na Mwenyekiti Wetu Dr Samia kwa kuwahimiza Wananchi watuunge mkono
Happy New Year
WEKENI MABANGO NCHI NZIMA MIKOA YOTE WILAYA ZOTE NA VIJIJI VYOTE + IBENI KURA ZOTE KAMA ALIVYOFANYA MAGUFULIBinafsi nilishangaa sana kumsikia Komredi Kinana akizungumza suala la Fomu Moja kana kwamba ndio anatoa Mwongozo
CCM kupitia mkutano mkuu wa taifa ilishamchagua kwa Kura Dr Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030
2025 ni wakati wa Vyama Vya Upinzani kujaribu bahati yao kama wataweza kumtoa kwa kura halali za Wananchi
2025 Sisi CCM Jukumu letu ni kutetea urais Wetu wa JMT unaoshikiliwa na Mwenyekiti Wetu Dr Samia kwa kuwahimiza Wananchi watuunge mkono
Happy New Year