Pre GE2025 Rais Samia alipochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM 2022 zilikuwa ni Baraka za yeye kuwa Rais wa JMT hadi 2030. Ni mtu mjinga tu asiyeelewa hili!

Pre GE2025 Rais Samia alipochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM 2022 zilikuwa ni Baraka za yeye kuwa Rais wa JMT hadi 2030. Ni mtu mjinga tu asiyeelewa hili!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jaribu kumsitua huyo mwenyekit wenu,
Mwambie wafuasi wake kila wakisimama wanaongelea madarasa yalijengwa!
Wenye akili wanauliza, inashindikana vipi kujenga majengo ya ghorofa?
Eneo moja utakuta shule zaidi ya nne. Utasikia hii inaitwa maziwa, ile inaitwa maandazi, ile sikukuu nk.
Majengo yametapakaa ovyo!
Tangu aondoke Jackson Makweta hatujawahi kupata Waziri makini wa Elimu
 
Lowassa akikusoma hapa atacheka mno

Ni mjinga tu anayeamini Tanzania kuna vyama Vya Upinzani chini ya Mtungi

Huyo Magufuli kama unavyojiita 2020 alijichagua na kuchagua Wabunge wote hadi akina mama wa Chadema na CUF dadeki🐼

Wewe ndio mjinga kabisa. Unadai hakuna upinzani wakati uchaguzi ulifuatwa zenji 2015. Kama hakuna upinzani uchaguzi ulifutwa wa Nini na kujaza JWTZ hapa Zanzibar. Unadai hakuna upinzani wakati magufuli alipata asilimia 57 ya kura zote Tena wizi ikiwemo halafu unadai hakuna upinzani. Punguza unafiki.

Wewe sema unafurahia CCM kutumia madaraka kuinfluence matokeo ya uchaguzi.
 
Huyu SSH angesimama kuomba kura ya Urais yeye kama yeye 2015, 2020 CCM ingekuwa imeshatolewa Madarakani.

Ni zipi Sera zake, mipango yake, maono yake, mikakati yake, uthubutu wake? Yupo pale kufanya nini kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania?
Hatushindanishi Watu tunashindanisha Ilani za Vyama
 
Siyo kwamba mnatetea urais kwa kupenda. Samia ndiye kashika rungu la uenyekiti, hivyo anaamrusha nn kifanyike.

Pia mkono mwingine kashika panga ra urais. Ukikataa kutekeleza anachokitaka anakushughulikia.

Ccm mnaburuzwa
Vijana wa taifa hili ni bendera fuata upepo,si wazalendo wa taifa lao isipokuwa ni njaa tu.
 
Wewe ndio mjinga kabisa. Unadai hakuna upinzani wakati uchaguzi ulifuatwa zenji 2015. Kama hakuna upinzani uchaguzi ulifutwa wa Nini na kujaza JWTZ hapa Zanzibar. Unadai hakuna upinzani wakati magufuli alipata asilimia 57 ya kura zote Tena wizi ikiwemo halafu unadai hakuna upinzani. Punguza unafiki.

Wewe sema unafurahia CCM kutumia madaraka kuinfluence matokeo ya uchaguzi.
Watanzania mko wajinga sana

Unashindwa kuelewa kwanini maalimu Seif aliamua kutangaza matokeo ya Uchaguzi kinyume cha katiba?

Kwa akili yako unadhani Lowassa kura hazijatosha? Kwanini hamkulalamika

CCM ndio DOLA yenyewe bwashee hao akina Mbowe, Mdee, Katambi, Silinde, Bulaya, Mnyika ni maafisa tu wa serikali kama Mrema na Mabere 😂😂

Mwenezi anawaita Watoa Taarifa
 
Binafsi nilishangaa sana kumsikia Komredi Kinana akizungumza suala la Fomu Moja kana kwamba ndio anatoa Mwongozo

CCM kupitia mkutano mkuu wa taifa ilishamchagua kwa Kura Dr Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030

2025 ni wakati wa Vyama Vya Upinzani kujaribu bahati yao kama wataweza kumtoa kwa kura halali za Wananchi

2025 Sisi CCM Jukumu letu ni kutetea urais Wetu wa JMT unaoshikiliwa na Mwenyekiti Wetu Dr Samia kwa kuwahimiza Wananchi watuunge mkono

Happy New Year
Ni mpumbavu tu atakayekuelewa.

Miaka nenda rudi utaratibu wa ccm ni kuwa mwenyekiti ndiye anayeshika urais, sasa ujinga wa kuanza kujifanya unatabiri ni upumbavu wa kiwangk cha lami
 
Ni mpumbavu tu atakayekuelewa.

Miaka nenda rudi utaratibu wa ccm ni kuwa mwenyekiti ndiye anayeshika urais, sasa ujinga wa kuanza kujifanya unatabiri ni upumbavu wa kiwangk cha lami
Labda unamwambia Kinana

Happy New Year 🐼
 
Ndugu Samia Suluhu alipitishwa mwaka 2022 na MM Taifa kuwa Mwenyekiti Taifa wa CCM baada ya nafasi hiyo kuwa wazi kutokana na kifo cha JPM. Lakini kuhusiana na suala la urais wake hakuna kikao chochote kile kimewahi kumpa idhini ya kugombea nafasi hii.

Si kikao cha KK, Halmashauri Kuu ya Taifa wala MM Taifa wa chama chake kimewahi kufanya hivyo. Aliyepewa ridhaa hiyo na vikao hivi ni JPM. Sijui katiba ya CCM inasemaje kuhusiana na hili, lakini mimi naona ni kinyume hata na mila na utamaduni wao.

Mwaka 2015 zilitolewa fomu nyingi, mwaka 2020 ilitolewa fomu moja ili kumpisha JPM amalizie awamu yake. Sasa 2025 zinapaswa zitolewe nyingine nyingi ili makada wapimane ubavu kwa ajili ya kumpata yule anayekubalika zaidi. Acheni uoga, kama Samia anakubalika sana ndani ya chama chake, basi si aache taratibu zichukue mkondo wake!
Hiki ndicho alichofafanua vyema ndugu Bams kwenye uzi wake mmoja.

Mh. Samia hajapitia mchakato wa uchaguzi wa CCM.

2025 watu waruhusiwe kugombea then akishinda kwenye vikao vitatu itakuwa ndiye mpeperusha bendera wa CCM.

Kinyume na hapo ni kinyume na katiba ya CCM, tamaduni ya CCM na ubakaji wa demokrasia.
 
Binafsi nilishangaa sana kumsikia Komredi Kinana akizungumza suala la Fomu Moja kana kwamba ndio anatoa Mwongozo

CCM kupitia mkutano mkuu wa taifa ilishamchagua kwa Kura Dr Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030

2025 ni wakati wa Vyama Vya Upinzani kujaribu bahati yao kama wataweza kumtoa kwa kura halali za Wananchi

2025 Sisi CCM Jukumu letu ni kutetea urais Wetu wa JMT unaoshikiliwa na Mwenyekiti Wetu Dr Samia kwa kuwahimiza Wananchi watuunge mkono

Happy New Year
Uchaguziulikuwa wa HAKI?
 
WEKENI MABANGO NCHI NZIMA MIKOA YOTE WILAYA ZOTE NA VIJIJI VYOTE + IBENI KURA ZOTE KAMA ALIVYOFANYA MAGUFULI

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Rais Samia yupo pall position- ndiye mwenye nafasi nzuri kuchaguliwa kuwa mgombea urais 2025.
Lakini sidhani kuna lazima ya kuwapeleka mental hospital watu wanaosema kila kitu kinategemea performance ya Rais.
 
Gawaneni Mbao ili Mtanzania apate Uhuru wa kweli kwa mara ya kwanza kutoka kwa Wakoloni makatili weusi.
 
Back
Top Bottom