Traitor, and snitchie Zitto Zubeiri Kabwe, Tapeli mkubwa na traitor asiyefaa.Mgombea Urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan amesema kwa Jimbo la Kigoma Mjini Wagombea Ubunge wa mwaka huu wa CCM Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Babalevo na Zitto Zubeir Kabwe wa Chama cha ACT Wazalendo wote ni wanae na wananchi ndio watakaoamua nani awaongoze.
Dkt. Samia ameyasema hayo Septemba 14, 2025 wakati wa Mkutano wake wa kampeni Kigoma Mjini, akilazimika kueleza hayo kutokana na ombi la Baba Levo aliyemuomba Dkt. Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa kumtaja mgombea anayemuunga mkono kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
"Sina utani, nitampiga mtu saa tano asubuhi kwasababu ninayeshindana nayi mtu dhaifu sana, ni maarufu (gangwea) kwenye mitandao lakini ukimleta huku chini ni biskuti. Ni kama ameshahamia CCM maana leo alikuwa anasambaza vipeperushi vya Oktoba tunatiki akiwa amemuweka Mama na yeye pale chini, nakuomba Mama ni muda wa kumuambia ukweli unamsapoti nani hapa Kigoma Mjini." Amesema Baba Levo.
Katika majibu yake pamoja na mengine, Dkt. Samia amemjibu akisema
"Nataka kuwaambia wote ni watoto wangu kwasababu hata yule mwingine katoa vibao vya kijani na njano vinasema mpe Mama Samia, Ubunge nipe mimi sasa si unajua kwenye nyumba watoto wakiwa wawili watatu wanavutana sio ndio? Lakini wote ni wanangu."
View attachment 3472246
Kama ZZK kweli katengeneza hiki kipeperushi, basi hana akili hata ya kuvukia barabara!Mgombea Urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan amesema kwa Jimbo la Kigoma Mjini Wagombea Ubunge wa mwaka huu wa CCM Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Babalevo na Zitto Zubeir Kabwe wa Chama cha ACT Wazalendo wote ni wanae na wananchi ndio watakaoamua nani awaongoze.
Dkt. Samia ameyasema hayo Septemba 14, 2025 wakati wa Mkutano wake wa kampeni Kigoma Mjini, akilazimika kueleza hayo kutokana na ombi la Baba Levo aliyemuomba Dkt. Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa kumtaja mgombea anayemuunga mkono kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
"Sina utani, nitampiga mtu saa tano asubuhi kwasababu ninayeshindana nayi mtu dhaifu sana, ni maarufu (gangwea) kwenye mitandao lakini ukimleta huku chini ni biskuti. Ni kama ameshahamia CCM maana leo alikuwa anasambaza vipeperushi vya Oktoba tunatiki akiwa amemuweka Mama na yeye pale chini, nakuomba Mama ni muda wa kumuambia ukweli unamsapoti nani hapa Kigoma Mjini." Amesema Baba Levo.
Katika majibu yake pamoja na mengine, Dkt. Samia amemjibu akisema
"Nataka kuwaambia wote ni watoto wangu kwasababu hata yule mwingine katoa vibao vya kijani na njano vinasema mpe Mama Samia, Ubunge nipe mimi sasa si unajua kwenye nyumba watoto wakiwa wawili watatu wanavutana sio ndio? Lakini wote ni wanangu."
View attachment 3472246
ZZK hazimo kichwani, au anaendeleza udini, kiongozi wa chama ambacho kina mgombea mliyempigania hadi akarejeshwa. Halafu unamsapoti mgombea mwingine????? Kuna shida kichwani kwa huyu fala.....Tuliambiwa ni project ya CCM, watu wengine wanabisha. Mnataka ushahidi gani?Aisee
Ilinichukua mudamrefu sana kuamini kuwa nikweli Zitto amefikia hadi hatua hii.Kama ZZK kweli katengeneza hiki kipeperushi, basi hana akili hata ya kuvukia barabara!
Nadhani ni false-flag operation iliyotekelezwa na internal (intra-party) political foes wa Baba Levo.Ilinichukua mudamrefu sana kuamini kuwa nikweli Zitto amefikia hadi hatua hii.
Ikiwa hili bango nikweli limetengenezwa na Zitto, hapa najaribu kuwaza hali aliyonayo Mpina kiroho na kimwili kwasasa ikoje?
DuhMgombea Urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan amesema kwa Jimbo la Kigoma Mjini Wagombea Ubunge wa mwaka huu wa CCM Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Babalevo na Zitto Zubeir Kabwe wa Chama cha ACT Wazalendo wote ni wanae na wananchi ndio watakaoamua nani awaongoze.
Dkt. Samia ameyasema hayo Septemba 14, 2025 wakati wa Mkutano wake wa kampeni Kigoma Mjini, akilazimika kueleza hayo kutokana na ombi la Baba Levo aliyemuomba Dkt. Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa kumtaja mgombea anayemuunga mkono kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
"Sina utani, nitampiga mtu saa tano asubuhi kwasababu ninayeshindana nayi mtu dhaifu sana, ni maarufu (gangwea) kwenye mitandao lakini ukimleta huku chini ni biskuti. Ni kama ameshahamia CCM maana leo alikuwa anasambaza vipeperushi vya Oktoba tunatiki akiwa amemuweka Mama na yeye pale chini, nakuomba Mama ni muda wa kumuambia ukweli unamsapoti nani hapa Kigoma Mjini." Amesema Baba Levo.
Katika majibu yake pamoja na mengine, Dkt. Samia amemjibu akisema
"Nataka kuwaambia wote ni watoto wangu kwasababu hata yule mwingine katoa vibao vya kijani na njano vinasema mpe Mama Samia, Ubunge nipe mimi sasa si unajua kwenye nyumba watoto wakiwa wawili watatu wanavutana sio ndio? Lakini wote ni wanangu."
View attachment 3472246
Una uhakika hicho kibao ametengeza yeye, wacha mihemko.ZZK hazimo kichwani, au anaendeleza udini, kiongozi wa chama ambacho kina mgombea mliyempigania hadi akarejeshwa. Halafu unamsapoti mgombea mwingine????? Kuna shida kichwani kwa huyu fala.....Tuliambiwa ni project ya CCM, watu wengine wanabisha. Mnataka ushahidi gani?
Kiasi cha SSH kakataa kumnadi mgombea wake wa CCM kisa "wote watoto wake" inaongea mengi sana. ZZK ni kibaraka.Una uhakika hicho kibao ametengeza yeye, wacha mihemko.
Kwavile SSH ndio Raisi wa Tanzania sote ni watoto wake, point siamini kama hicho kibao kaandika Zitto.Kiasi cha SSH kakataa kumnadi mgombea wake wa CCM kisa "wote watoto wake" inaongea mengi sana. ZZK ni kibaraka.
Duh mtoto wake peke yako na wenzako sio kila mtu.Kwavile SSH ndio Raisi wa Tanzania sote ni watoto wake, point siamini kama hicho kibao kaandika Zitto.
Huyu atatafutiwa mahali pengine pa kula ,shamba ni kubwa sanaJimbo la Zitto hilo.
Kama ZZK kweli katengeneza hiki kipeperushi, basi hana akili hata ya kuvukia barabara!
Umeelewa nilichoandika?na wewe unaweza amini kabisa Zitto anaweza fanya kitu kama hicho? Hao ni vijana wa chadema mkuu katika muendelezo wao wa chuki na ZItto
Wakati mwingine ni bora kutumia kichwa chako kufikiri kuliko kutumia Makali& yako. Vijana wa CHADEMA wanahusika vipi? Baba au mama yako akikojoa barabarani utasema ni vijana wa CHADEMA walisababisha....Shenzi wewe, huna akili.na wewe unaweza amini kabisa Zitto anaweza fanya kitu kama hicho? Hao ni vijana wa chadema mkuu katika muendelezo wao wa chuki na ZItto
Waisiharamu ni waoumbavu sana ...mwisho wao unakuja kama radiMgombea Urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan amesema kwa Jimbo la Kigoma Mjini Wagombea Ubunge wa mwaka huu wa CCM Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Babalevo na Zitto Zubeir Kabwe wa Chama cha ACT Wazalendo wote ni wanae na wananchi ndio watakaoamua nani awaongoze.