Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,717
Mama Samia alisema ana watoto wawili Kigoma wanaogombea na akasema mmoja alishasema msapotini Mama. Ndugu msipende kubisha, hilo ubao ni wa halali na upo hapo. Usihangaike kutafuta mchawi....Mchawi mnae hapo hapo kwenu. Kuna mtu asiyejua tabia za Zitto???? Fanya research yako kwa makini.Nadhani ni false-flag operation iliyotekelezwa na internal (intra-party) political foes wa Baba Levo.
Hatuba ya ZZK ya ufunguzi wa campaign yake (Google Search) haina viashiria vya kwamba ametengeneza kipeperushi kama hicho!