Mama Samia alisema ana watoto wawili Kigoma wanaogombea na akasema mmoja alishasema msapotini Mama. Ndugu msipende kubisha, hilo ubao ni wa halali na upo hapo. Usihangaike kutafuta mchawi....Mchawi mnae hapo hapo kwenu. Kuna mtu asiyejua tabia za Zitto???? Fanya research yako kwa makini.
Wakati mwingine ni bora kutumia kichwa chako kufikiri kuliko kutumia Makali& yako. Vijana wa CHADEMA wanahusika vipi? Baba au mama yako akikojoa barabarani utasema ni vijana wa CHADEMA walisababisha....Shenzi wewe, huna akili.
Tuna nchi ya wajinga kila kitu ni uongo tu, jana tu Muliro anasema kuwa Police walipigwa na watu kule mahakamani, Lakini si tuliona jinsi police walivyopiga wananchi walioko huko mahakamani.