Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #241
Vipi huko? Nilisema kusoma hamjui na kuelewa hamjui, sijui mliajiriwa vipi?Unaposema shida ni walimu kuwa na uelewa mdogo wewe ulifundishwa na Nani ili uwe na uelewa mkubwa? Hivi kauli "Serikali imeridhia ongezeko la mishahara kuwa 23.3% kwa watumishi ikiwemo kima Cha chini kunahitaji PHD kujua maana yake? Acha dharau ndg, kuwa mwalimu usidhani ndo watu hawana uelewa wa mambo ndo maana Mwl aliitoa nchi hii chini ya ukoloni, ni kada ipi nyingine ilidhubutu kuzungumzia uhuru wa nchi tofauti na kulamba miguu ya wazungu?
Vipi huko? Nilisema kusoma hamjui na kuelewa hamjui, sijui mliajiriwa vipi?kwa mwezi, chukua trilion 1 na bilion 590 gawanya kwa 12 utapata bilion 132 na million kadhaa gawanya tena kwa laki sita utapata laki mbili na point
Vipi huko? Nilisema kusoma hamjui na kuelewa hamjui, sijui mliajiriwa vipiMtoa post naomba nikukumbushe kuwa wote ile barua tuliiona pengine yatakayotokea ni ujanja ujanja tu na kuwapuuza watumishi wa umma wa nchi hii. Barua ilisema Rais ameridhia nyongeza ya mshahara kwa 23.3% ikiwemo kima Cha chini. Barua haikusema ameridhia nyongeza ya mshahara kwa 23.3% kwa kima cha chini.
Vipi huko? Nilisema kusoma hamjui na kuelewa hamjui, sijui mliajiriwa vipi?Acha kupotosha watumishi wa umma. Hilo lilitamkwa wazi mchana kweupe pee.
Kama ameshindwa kuongeza kwa asilimia hizo, anatakiwa atoke hadharani na kuwaomba radhi watumishi wa umma, na wala si vinginevyo.
Vipi huko? Nilisema kusoma hamjui na kuelewa hamjui, sijui mliajiriwa vipi?Nimelazimika kuleta barua husika hapa jukwaani ili mtoa post atuambie wapi barua ilisema nyongeza ya 23.3% ni kwa kima Cha chini tu. Barua inasema Rais ameridhia nyongeza ya mshahara kwa 23.3% ikiwemo kima Cha chini.
Kazi hawafanyi, na hata hivyo mama ana huruma sana. Mimi ningewapunguzia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza Rais aliwauliza pale mei mosi kwamba wanadai ongezeko la salary kwa tija gani wameleta?
Increment ya mshahara ipo kwenye Basic Salary, wewe umeona ongezeko kwenye Basic au Baada ya makato.Chifu Hangaya kawakaanga watumishi! Ni vilio na majonzi kwa wananzengo wa "wako mtiifu"
Utakumbukwa Sana JPM kwa KUSEMA UKWELI, asilimia 23. 3% ndiyo sh. 8,000 elfu nane kweli!
Poleni Sana watumishi wa umma, njoooni huku kwenye dhahabi tupige pesa!
Duuuuh,changa la macho baraa tupuBaada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.
Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.
Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?
Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?
Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Mbona akili zako kama za Mwigulu NchembaSijasoma shule za kata, na hata Watoto wangu hawasomi huko
Acha upuuzi huo mnawatesa watumishi wkt nyie mnapiga pesa kila kukicha ndo maana mlikuwa mnamchukia JpmBaada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.
Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.
Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?
Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?
Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Tulia dawa iingie.Acha upuuzi huo mnawatesa watumishi wkt nyie mnapiga pesa kila kukicha ndo maana mlikuwa mnamchukia Jpm
Acha ujingaBaada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.
Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.
Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?
Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?
Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Kivipi? Nilisema kusoma hamjui na kuelewa hamjui, sijui mliajiriwa vipi?Daa kweli aisee, maza kazngua
Huko feza wewe na bibi zako mlishawahi fika?! OvyooMbona povu? Nenda kafundishe Feza
Hawakuwa walimuHuko feza wewe na bibi zako mlishawahi fika?! Ovyoo