Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Unaposema shida ni walimu kuwa na uelewa mdogo wewe ulifundishwa na Nani ili uwe na uelewa mkubwa? Hivi kauli "Serikali imeridhia ongezeko la mishahara kuwa 23.3% kwa watumishi ikiwemo kima Cha chini kunahitaji PHD kujua maana yake? Acha dharau ndg, kuwa mwalimu usidhani ndo watu hawana uelewa wa mambo ndo maana Mwl aliitoa nchi hii chini ya ukoloni, ni kada ipi nyingine ilidhubutu kuzungumzia uhuru wa nchi tofauti na kulamba miguu ya wazungu?
Vipi huko? Nilisema kusoma hamjui na kuelewa hamjui, sijui mliajiriwa vipi?
 
kwa mwezi, chukua trilion 1 na bilion 590 gawanya kwa 12 utapata bilion 132 na million kadhaa gawanya tena kwa laki sita utapata laki mbili na point
Vipi huko? Nilisema kusoma hamjui na kuelewa hamjui, sijui mliajiriwa vipi?
 
Mtoa post naomba nikukumbushe kuwa wote ile barua tuliiona pengine yatakayotokea ni ujanja ujanja tu na kuwapuuza watumishi wa umma wa nchi hii. Barua ilisema Rais ameridhia nyongeza ya mshahara kwa 23.3% ikiwemo kima Cha chini. Barua haikusema ameridhia nyongeza ya mshahara kwa 23.3% kwa kima cha chini.
Vipi huko? Nilisema kusoma hamjui na kuelewa hamjui, sijui mliajiriwa vipi
 
Acha kupotosha watumishi wa umma. Hilo lilitamkwa wazi mchana kweupe pee.
Kama ameshindwa kuongeza kwa asilimia hizo, anatakiwa atoke hadharani na kuwaomba radhi watumishi wa umma, na wala si vinginevyo.
Vipi huko? Nilisema kusoma hamjui na kuelewa hamjui, sijui mliajiriwa vipi?
 
Nimelazimika kuleta barua husika hapa jukwaani ili mtoa post atuambie wapi barua ilisema nyongeza ya 23.3% ni kwa kima Cha chini tu. Barua inasema Rais ameridhia nyongeza ya mshahara kwa 23.3% ikiwemo kima Cha chini.
Vipi huko? Nilisema kusoma hamjui na kuelewa hamjui, sijui mliajiriwa vipi?

Ndio maana tunasema akili hamna
 
Chifu Hangaya kawakaanga watumishi! Ni vilio na majonzi kwa wananzengo wa "wako mtiifu"
Utakumbukwa Sana JPM kwa KUSEMA UKWELI, asilimia 23. 3% ndiyo sh. 8,000 elfu nane kweli!
Poleni Sana watumishi wa umma, njoooni huku kwenye dhahabi tupige pesa!
Increment ya mshahara ipo kwenye Basic Salary, wewe umeona ongezeko kwenye Basic au Baada ya makato.
 
Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.

Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.

Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?

Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?

Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Duuuuh,changa la macho baraa tupu
 
Acha upuuzi huo mnawatesa watumishi wkt nyie mnapiga pesa kila kukicha ndo maana mlikuwa mnamchukia Jpm
 
Haya ndio matatizo ya uchawa unapopitiliza.

Upo sahihi kila aliesikiliza alisema kima chini ndio kitaongezeka kwa roughly 23%.

Tatizo wakati chawa wenu wanapotosha umma ‘maza anaupiga’ mwingi kaongeza mishahara 23% kwa wote mlikuwa mnashangilia huo upotoshaji.

Sasa leo mnashangaa nini baada ya watu kukuta sivyo kama walivyopotoshwa na chawa ambao muda wote mlikuwa mnaangalia upotoshaji; unavuna unachopanda in life.
 
Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.

Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.

Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?

Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?

Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Acha ujinga
 
Shida Chawa huwa hawajitokezi kutoa ufafanuzi kwa wakati kama huo upotoshaji una lengo la kumpamba Rais.
 
Mama kaona fate mwezake alivyotangaza kule zanzibar ndio kaleta ile asilimia uku
 
Back
Top Bottom