Ndiyo maana nimekupa angalizo mapema, siyo kila anayechangia uzi huu ni mwalimu.Mwalimu again....
Kwa kauli hii bado hapa ndipo unadhihirisha kuwa wewe siyo mjinga tu bali ni zaidi maana nilijua ungekuja na hoja ya kuwapa elimu hao unaowakejeli kumbe wewe ndiye "punga" kabisa.
Ok assume mimi ni mwalimu leta udhaifu wa hoja yangu au maelezo kinzani juu ya maelezo niliyokupa vinginevyo wewe utaendelea kuwa kituko.