Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Nimelazimika kuleta barua husika hapa jukwaani ili mtoa post atuambie wapi barua ilisema nyongeza ya 23.3% ni kwa kima Cha chini tu. Barua inasema Rais ameridhia nyongeza ya mshahara kwa 23.3% ikiwemo kima Cha chini.

Nimeona nilete humu jukwaani barua husika ili wanajukwaa msome wenyewe na kujionea wenyewe kama ile barua ilisema nyongeza ya 23.3% ni kwa ajili ya watu wa kima Cha chini tu. Maana mleta post anapotosha sijui kwa masrahi ya nani?.Barua hiyo hapo chini inasema Rais ameridhia nyongeza kwa 23.3% ikiwemo kima Cha chini.
Ila walimu mna shida kubwa sana kwenye ubongo
 
Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja​

Kwa hiyo unamaanisha wafanyakazi wamepigwa na kitu kizito, yaani waliuziwa mbuzi kwenye junia?🙄🤔
 
Wachangiaji wengi kwenye huu uzi mko nje ya mada, issue ni 33.3% kwenu wote au wale wa kima cha chini? Jibuni acheni blah blah
 
Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.

Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.

Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?

Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?

Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Wewe pia ulifundishwa na walimu,au mama zako?
 
1. Mtoa mada, uwaombe radhi walimu kwa kuwashambulia bila kuweka bayana uthibitisho wa kada hiyo ilivyolaumu.

2. wewe mwenyewe ktk mada hii umedhihirisha kuwa haujui lolote juu ya Namna nyongeza za mishaha zinavyokokotolewa, vinginevyo basi ungeweza kuwaelimisha hao unaowalaumu zaidi tu umewashambulia kwa maneno ya ujinga wako.

3. Labda tu ufahamu kuwa hata hawa wanaojadili humu wengi si walimu hivyo punguza mtazamo hasi juu ya walimu huku ukikumbuka kuwa hata huu ujinga unaowarushia pengine unatumia vibaya maarifa yao waliyokupatia.

4. Nikufahamishe kuwa walimu wanajua vema namna mishahara inavyoongezwa na walilielewa vema tangazo la Rais.

Kwa ufupi tu ni kwamba wanaposema nyongeza ni 23.3% kwa kima cha chini ni kwamba atakayeongezewa hizo asilimia kama zilivyo ni mtumishi wa Daraja la kima cha chini, madaraja mengine yatakuwa yanapata nyongeza pungufu kutokana na kanuni yahesabu itakavyokuwa imepigwa (hii nayo utapewa elimu ukiihitaji). Hufanyika hivi ili kuweza kuwa na nyongeza inayokaribiana kwa madaraja yote maana wakifanya sawia walio na daraja la juu Sana watapanua wigo wa tofauti kubwa ya mshahara.
 
kuna watu wameongezewa 250k.

kama kuna watu atawaongezea 50k na mishahara yao duni basi ni tapeli.
 
Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.

Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.

Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?

Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?

Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
"...ameridhia ongezeko la mshahara, ikiwemo kima cha chini..."

Sijui wewe ulielewa nini hapa ?
 
Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.

Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.

Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?

Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?

Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.

Hapo haujaeleweka unataka kusema nini?
Kama ni kijana Taifa linahitaji maombi, kama ni mzee akili imechoka.
1.Uchumi wa dunia
Rais
Walimu
 
Bila shaka wewe ni Mwalimu, huo mshahara unaopewa unakutosha. Mwalimu hana kazi ya kufanya ya kulipwa mshahara mkubwa. Ukiona mshahara kidogo, acha kazi, hujalazimishwa
Acha kejeli kijana watu wanafanya kazi kwa uvumilivu wa dhiki sio uzalendo
1)wengi wetu tumetoka familia duni,huo ualimu ndo cheo kikubwa kwenye familia
2)ujasilia mali unahitaji mtaji na wakati mwingine unajionea wezio wanaofanya ujasiliamali wanavyonyanya kwa kubomolewa vibanda na kufukuzwa unakataa tamaa na unaamua kubaki kufundisha

Kama wewe umebahatika kutoka kwenye familia nzuri na unapata maslahi mazuri mshukuru Mungu kwa kukupa upendeleo katika maisha na wengine tuliokosa tuhurumie na kutuombea ni watu tuliokosa tumaini na maisha.maana siku uvumilivu wa dhiki ikitoka mioyoni mwetu na kusema bac inatosha sijuwi kama tutabaki salama(watu wanamaumivu na haya maisha acheni kejeli)
 
Imeonekana kwenye salary portal?
Salary slip portal for salary slips
Human capital management information system.. (HCMIS) /LAWSON
Tofautisha hiyo muite na popoma Countrywide ambaye alikuwa hajui tofauti ya payroll na salaryslip ajifunze 😁

Mmoja hapo umewapa access watumishi wote kuangalia hati za mishahara yao wakati mwingine ni for officials ma HR na walio juu yao kwa ajili ya mambo kadhaa ya kiutumishi
 
Back
Top Bottom