Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Hizi hasira sio bure kuna kitu hakipo sawa kwenye medula

Ww ndio Una hasira kwa kuleta Uzi WA kutukana watu as if they are outcast in this country! Kwa mtu anaejitambua, anaheshimu na mwenye akili zilizotulia, huheshimu mawazo, hisia na utu wa Binadamu mwenzake. Na kama umeelimika vizuri, Una heshimu kazi za Binadamu wenzako. Na sio kushambulia Kada flani eti kwa sababu ww uko Kada nyingine.

Nakuhakikishia, ww Una frustration!
 
Ww ndio Una hasira kwa kuleta Uzi WA kutukana watu as if they are outcast in this country! Kwa mtu anaejitambua,anaheshimu na mwenye akili zilizotulia,huheshimu mawazo,hisia na utu wa Binadamu mwenzake. Na kama umeelimika vizuri,Una heshimu kazi za Binadamu wenzako. Na sio kushambulia Kada flani eti kwa sababu ww uko Kada nyingine. Nakuhakikishia,ww Una frustration!
Mimi naheshimu kila mtu, Ila kwenye ukweli nitasema hata kama ni ukweli mchungu
 
Akili ninazo kiasi zinatosha kuendesha maisha yangu.

Nimeuliza salary slip ziko wapi maana katika mfumo hazijawekwa wewe umeziona wapi?

Kama umeziona jikoni kabla hazijatoka nijibu tu sio ugomvi mkuu
Anachanganya Payroll na Salary Slip.....
 
Mimi naheshimu kila mtu, Ila kwenye ukweli nitasema hata kama ni ukweli mchungu
Huheshimu Binadamu wenzako na kazi zao ww. Una dharau sana, na hii itakugharimu Sana hata kama sio wewe. Ila kizazi chako pia, hakuna mtu aliyemaliza vyema, au kizazi chake kikawa salama kwa kudharau watu ndugu! nakuhakikishia, wewe una dharau sana kwa watu ambao kwa hisia yako, na uono wako hafifu unawaona ni wa Chini kipato, maisha, au mazingira. Tena kama wewe ni mtumishi na Una cheo, ni mnyanyasaji Sana, na kama ni mtumishi au mfanyakazi wa kawaida huna relationship nzuri na wenzako! Nina uhakika, kwa dini yangu. Aise! Wewe ni mnyama sana tena mwenye dharau sana.
 
Huheshimu Binadamu wenzako na kazi zao ww,Una dharau sana,na hii itakugharimu Sana hata kama sio ww,Ila kizazi chako pia,hakuna mtu aliyemaliza vyema,au kizazi chake kikawa salama kwa kudharau watu ndugu!nakuhakikishia, ww Una dharau sana kwa watu ambao kwa hisia yako,na uono wako hafifu unawaona ni wa Chini kipato,maisha,au mazingira. Tena kama ww ni mtumishi na Una cheo,ni mnynyasaji Sana,na kama ni mtumishi au mfanyakazi wa kawaida huna relationship nzuri na wenzako! Nina uhakika, kwa dini yangu.aise! Ww ni mnyama sana tena mwenye dharau sana.
Mimi ndio Countrywide, ni Kama Msumari wa moto, kadri unavyoukalia ndio utavyokua unaumia. Hii JF mmeifanya kuwa kama darasa, kila mara mnakuja na mambo ya ajabuajabu tu ni lazima tuwachane na kuwaweka sawa mpaka mbadilike
 
Maslahi duni
Unaona sasa, walikuja kugundua hawapo sehemu sahihi wakaamua kuacha.

Mimi hoja yangu ipo kwa hawa ambao wapo. Mtu aliyekua anatenda dhambi akaamua kuokoka unamhubiria nini? Tunahubiri kwa walio kwenye dhambi
 
Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.

Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.

Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?

Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?

Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Hapo kusema kwa kazi gani unazofanya umeonesha una chuki na walimu, kwani ungeishia tu kusema uchumi haukidhi ungepungukiwa nini?
 
Back
Top Bottom