Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

kuna watu wameongezewa 250k.

kama kuna watu atawaongezea 50k na mishahara yao duni basi ni tapeli.
Binafsi nawashauri watumishi wote ambao wameendelea kutoa huduma mbalimbali, maana bila nyinyi Kama watendaji wakuu huku chini hamna kitu, wale wapo huko kura KWa urefu wa kamba zao Sasa basi
1.Wenda mwanzisha mada kaanzisha KWa chuki binfsi na watumishi wa nchii,akiegemea upande mmoja wa walimu, ila lengo ni kukejeli ,kukebehi watumishi wote katika Taifa Hili hasa ambao connection kwao mpaka kizazi chao hawawezi kupata, maana huwezi kuwa na maneno ya kebehi ya namna hii kisa hupo hapa jf,labda uwe na laana inayokutafuna, au umekata tamaa na maisha unaelekea kufa ,so wivu ndo unakusumbua

2.Wenda mtoa mada na genge lake hum wanajua wanachokifanya kimkakati Ili mjiandae kipsychology ,kwamba mnaweza kuta nyongeza ya elfu 10,20, 50, Kama nyongeza baada ya kula msoto wa miaka 6, so msipoteze mda na mtu Kama uyu subilin mishahara yenu mtaona mkiwewa

USHARI KWENU NDUGU ZETU WATUMISHI,

Mkutapo Iyo pesa isemwayo ndo Iyo ya kununulia mandazi, Cha kufanya ni silent action, bila kujali upo idara GANI fika kazin, piga dana dana za hapa pale ondoka ukafanye YAKO, ndio wananchi tutaumia na ikiwemo huyu mtoa mada maana , wapo Wana ukoo wake, Kama sio wale wa karibu na yeye anaekula Bata nao, tutaumia wote,
Mkileta mdololo katika utendaji wa KAZI huko chini silently nawambieni mtaeshimiana,
Unaletaje masiala kwenye maisha ya watu, kwani Kama Mbunge analipwa pesa kipao interm m, Kuna shida GANI mtumishi mwongezea hata laki tatu , na ukizingatia amekaa 6 yrs analimia meno, na vipi maisha ya Sasa yapo vipi KWa watz wote wakiwemo wao,
Niwatakieni nyongeza ya mshahara wenye tija maana .
 
Binafsi nawashauri watumishi wote ambao wameendelea kutoa huduma mbalimbali, maana bila nyinyi Kama watendaji wakuu huku chini hamna kitu, wale wapo huko kura KWa urefu wa kamba zao Sasa basi
1.Wenda mwanzisha mada kaanzisha KWa chuki binfsi na watumishi wa nchii,akiegemea upande mmoja wa walimu, ila lengo ni kukejeli ,kukebehi watumishi wote katika Taifa Hili hasa ambao connection kwao mpaka kizazi chao hawawezi kupata, maana huwezi kuwa na maneno ya kebehi ya namna hii kisa hupo hapa jf,labda uwe na laana inayokutafuna, au umekata tamaa na maisha unaelekea kufa ,so wivu ndo unakusumbua

2.Wenda mtoa mada na genge lake hum wanajua wanachokifanya kimkakati Ili mjiandae kipsychollogy ,kwamba mnaweza kuta nyongeza ya elfu 10,20, 50, Kama nyongeza baada ya kula msoto wa miaka 6, so msipoteze mda na mtu Kama uyu subilin mishahara yenu mtaona mkiwewa

mkuu tatizo lipo hapa.

ccm kwa ujumla wao ni matapeli na maharamia,hawana uchungu na watanzania.chcochote unachokifanya kwa ajiri ya kuwakomoa ccm,wanaoumia ni watz wenzako ambao ni wajomba na shangazi zako.

ukumbuke WITO wa kazi ndio unatufanya kukomaa sometime hata kama mazingira ya kazi ni mabovu,ndio maana unaona tumekaa miaka 6 na mzalendo mwenzetu bila nyongeza na kazi tulipiga.
ila kwa huyu mwaka mmoja tu watu wamekuwa mbogo,japo kaongeza ila haeleweki.

kama taifa bado tuna kazi ngumu kama wafanyakazi 8% tuliopo.
 
Kila jicho linalosubiria ongezeko la mshahara hatimaye litaona kilichoongezwa. Tusitukanane na kubezana.

Kama mtoa mada kamba yake ni ndefu (pengine ukuu wa wilaya manake ana kawaida ya kumsifia mkuu wa wilaya fulani) ale kwa utulivu. Kamba huwa zinakatika wakati mwingine by surprise

Chifu Hangaya kawakaanga watumishi! Ni vilio na majonzi kwa wananzengo wa "wako mtiifu"
Utakumbukwa Sana JPM kwa KUSEMA UKWELI, asilimia 23. 3% ndiyo sh. 8,000 elfu nane kweli!
Poleni Sana watumishi wa umma, njoooni huku kwenye dhahabi tupige pesa!
Ila, Kama ni ivyo ,nao wajifunze kuacha KILA mei mosi kujianika juani kwenda pata matumain ambayo siku moja yanageuka kuwa torture moyoni mwake? Nimecheka Kama mazuri, any way jf ipo tutapata mrejesho
 
Binafsi nawashauri watumishi wote ambao wameendelea kutoa huduma mbalimbali, maana bila nyinyi Kama watendaji wakuu huku chini hamna kitu, wale wapo huko kura KWa urefu wa kamba zao Sasa basi
1.Wenda mwanzisha mada kaanzisha KWa chuki binfsi na watumishi wa nchii,akiegemea upande mmoja wa walimu, ila lengo ni kukejeli ,kukebehi watumishi wote katika Taifa Hili hasa ambao connection kwao mpaka kizazi chao hawawezi kupata, maana huwezi kuwa na maneno ya kebehi ya namna hii kisa hupo hapa jf,labda uwe na laana inayokutafuna, au umekata tamaa na maisha unaelekea kufa ,so wivu ndo unakusumbua

2.Wenda mtoa mada na genge lake hum wanajua wanachokifanya kimkakati Ili mjiandae kipsychollogy ,kwamba mnaweza kuta nyongeza ya elfu 10,20, 50, Kama nyongeza baada ya kula msoto wa miaka 6, so msipoteze mda na mtu Kama uyu subilin mishahara yenu mtaona mkiwewa

USHARI KWENU NDUGU ZETU WATUMISHI,

Mkutapo Iyo pesa isemwayo ndo Iyo ya kununulia mandazi, Cha kufanya ni silent action, bila kujali upo idara GANI fika kazin, piga dana dana za hapa pale ondoka ukafanye YAKO, ndio wananchi tutaumia na ikiwemo huyu mtoa mada maana , wapo Wana ukoo wake, Kama sio wale wa karibu na yeye anaekula Bata nao, tutaumia wote,
Mkileta mdololo katika utendaji wa KAZI huko chini silently nawambieni mtaeshimiana,
Unaletaje masiala kwenye maisha ya watu, kwani Kama Mbunge analipwa pesa kipao interm m, Kuna shida GANI mtumishi mwongezea hata laki tatu , na ukizingatia amekaa 6 yrs analimia meno, na vipi maisha ya Sasa yapo vipi KWa watz wote wakiwemo wao,
Niwatakieni nyongeza ya mshahara wenye tija maana .
Kipsychollogy?? Hizi aibu muwe mnaziepuka. Ila walimu aisee
 
Nafikili hatuko jf KWa ajili ya muandiko, na pitia post zangu zote Mie sio type yako ,na sio wa kuchezea chezea , binfsi haijalishi upo wapi nakufyatua hapa jf live, na unakutana nalo huko, so nakuonya
 
mkuu tatizo lipo hapa.

ccm kwa ujumla wao ni matapeli na maharamia,hawana uchungu na watanzania.chcochote unachokifanya kwa ajiri ya kuwakomoa ccm,wanaoumia ni watz wenzako ambao ni wajomba na shangazi zako.

ukumbuke WITO wa kazi ndio unatufanya kukomaa sometime hata kama mazingira ya kazi ni mabovu,ndio maana unaona tumekaa miaka 6 na mzalendo mwenzetu bila nyongeza na kazi tulipiga.
ila kwa huyu mwaka mmoja tu watu wamekuwa mbogo,japo kaongeza ila haeleweki.

kama taifa bado tuna kazi ngumu kama wafanyakazi 8% tuliopo.
Nakuelewa mkuu, ila Kuna mda unafanya mahamuzi magum, njaa mkuu haivumiliki, ndio Iyo njia hata Mimi nitaumia lakin hata ccm wataumia labda ambao wapo kwenye viti vya enzi,lakin nao si wanandugu, why mashirika yajayo kwetu tukiajiliwa wanakua na ubinadam kuliko sisi ndugu Serikali KWa watu wake
 
Nafikili hatuko jf KWa ajili ya muandiko, na pitia post zangu zote Mie sio type yako ,na sio wa kuchezea chezea , binfsi haijalishi upo wapi nakufyatua hapa jf live, na unakutana nalo huko, so nakuonya
Nilisema huko mwanza huwa siwezi kujadiliana na nyie
 
Lile tangazo lilisema "Rais amekubali ongezekio la asilimia 23.3 ikiwemo kima cha chini" tafuta maana ya neno "ikiwemo" katika context ya hiyo sentensi
 
Kuna mmoja nimekueleza huko, huwa sifanyi mjadala na nyie
Nami Kama nilivyokuandikia wewe una zaidi ya ujinga, sasa hapa umeandika nini?

Kama ulikuwa hautaki kufanya mjadala na watu hao kwa nini uliwazungumzia ulitarajia nini. Wewe ni mbumbu tu. Kama kweli ulienda shule ni hasara
 
Nilitarajia mtapata akili, lakini imeshindikana
 
Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.

Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.

Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?

Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?

Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Acha kuleta taharuki kwa watumishi.Kima cha chini hupungua mtawalia kutokana na ukubwa wa MSHAHARA wa mtumishi hadi kufikia zero kwa viongozi walioteuliwa kwenye sekta husilka .Waacheni wapumue jamani
 
Vipi umeelewa kwel?
 
Back
Top Bottom