Rais Samia amaliza mgogoro wa miaka kumi kati ya Tanzania na Afrika Kusini

Safi sana mama
 
Mnampa bure sifa Samia hiyo kazi ya kuwezesha bidhaa za kilimo za Tanzania Bashe kaifanya kwa karibu miaka miwili tokea mwishoni mwa 2018,,Samia wenu akiwa makamu na vitu vingi mnavyompatia umahiri kaingia vikiwa karibu na kuwiva,,,tupeni amani mwambieni akakope na ndiyo kilio chake kukopa tuuu
 
Habari njema kwa wakulima wa parachichi,wapanue wigo kwa mazao mengine.
 
😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…