Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Shetani mkubwa huyu. Unaiba mali za umma, unauza raslimali zetu, rushwa kila kona. Wewe umebakia tu tuliende amani yetu. Tulinde hiyo amani ili mzidi kutuibia. Shenzi sana hipoppotumus mkubwaRAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI
"Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu, tuendelee kutunza amani yetu ili tupate maendeleo zaidi." - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kizimkazi, ZanzibarView attachment 3650024
Kamwambie HAKI ni msingi wa AMANI.RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI
"Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu, tuendelee kutunza amani yetu ili tupate maendeleo zaidi." - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kizimkazi, Zanzibar
Soma pia Rais Samia: Mapinduzi yalishafanyika, sasa mapinduzi ni ya maendeleo
Ni kweli mheshimiwa.RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI
"Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu, tuendelee kutunza amani yetu ili tupate maendeleo zaidi." - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kizimkazi, Zanzibar
Soma pia Rais Samia: Mapinduzi yalishafanyika, sasa mapinduzi ni ya maendeleo
Punguza ukali wa maneno kaka.Shetani mkubwa huyu. Unaiba mali za umma, unauza raslimali zetu, rushwa kila kona. Wewe umebakia tu tuliende amani yetu. Tulinde hiyo amani ili mzidi kutuibia. Shenzi sana hipoppotumus mkubwa
well done Dr Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania 🤝RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI