Rais Samia ameamua kuwatolea uvivu Jeshi la Polisi na kuyaanika hadharani maovu yao!

raisi wetu hata kama anafanya mabaya ila yale anayokwenda sawa lizima tuyaone
kukemea wazi wazi kwa matemdo hayo mabaya ni dawa pia kwakua kama mkuu wa nchi kaliongeea lazima wastuke na hali itapungua me nampongeza kwa hilo tusiwe watubwa kuona mabaya tu kwa mtu ipo siku atakuja mtu sahihi na hatutaona utendaji wake.
hata MAGUFULI alikua na mema na mabaya yake lakini alipokua madarakani mabaya ndio yaliongelewa zaidi
 
Ni kweli kabisa.

Kwa kutamka tu hadharani, huku wananchi tukiisikiliza hotuba hiyo mubashara, ni hatua nzuri kwenye kuelekea kwenye utawala bora, unaozingatia sheria
 
Kwa kweli Katika hotuba aliyoitoa leo huko kwenye Chuo cha Polisi Moshi, Rais Samia ameamua kuyaweka wazi maovu yanayofanywa na Jeshi hilo la Polisi na hivyo nampongeza Sana Rais wetu kwa ujasiri wake huo.

Kwanza amesisitiza kuwa ni lazima Jeshi la Polisi lizingatie Nidhamu, Haki na Weledi Katika utendaji wao wa Kazi za kila siku.

Ameeleza kuwa Jeshi la Polisi, halina sifa nzuri ndani ya jamii ya Watanzania.

Akisema kuwa Rushwa imekithiri ndani ya Jeshi hilo, akitoa mifano hai kabisa, kama vile askari wa barabarani ambao huwa wanachukua Rushwa waziwazi!

Anaendelea kusisitiza kuwa hata dhamana, ambayo ni Haki ya mtuhumiwa, lakini Jeshi hilo lingekuwa "likiwakamua" watuhumiwa, ikiwa ni uthibitisho wa kauli mbiu ya sisi raia, kuwa kuingia kwenye selo za Polisi ni bure, lakini kutoka ni kwa Pesa!

Akakemea pia tabia ya Polisi kuwabambikia Kesi raia, ambapo bila kujali, namna wanavyowatesa hao wanaobambikiwa Kesi.

Pia amakemea tabia za Ufisadi, zilizokithiri ndani ya Jeshi hilo la Polisi, akitoa mfano namna Jeshi hilo linavyofanya biashara ya kuuza sare hizo za Polisi kwa Majeshi mengine kama vile kwa Jeshi la zimamoto.

Akaomgeza namna maafisa wa Jeshi hilo, wanavyotumia bajeti ya mafuta ya Jeshi hilo na kuyapeleka kwenye magari yao binafsi!

Nampongeza Sana Rais Samia kwa kuyaanika hadharani maovu hayo ya Jeshi la Polisi, ambapo sisi raia wema, tumekuwa tukiyakemea maovu hayo kwa kipindi kirefu Sana, lakini yamekuwa hayasikilizwi kabisa.
Kitendo cha Kukemea tu ni hatu moja nzuri.

Awakemee wakome kabisa.
 
raisi wetu hata kama anafanya mabaya ila yale anayokwenda sawa lizima tuyaone
kukemea wazi wazi kwa matemdo hayo mabaya ni dawa pia kwakua kama mkuu wa nchi kaliongeea lazima wastuke na hali itapungua me nampongeza kwa hilo tusiwe watubwa kuona mabaya tu kwa mtu ipo siku atakuja mtu sahihi na hatutaona utendaji wake.
hata MAGUFULI alikua na mema na mabaya yake lakini alipokua madarakani mabaya ndio yaliongelewa zaidi
Hi ni jambo jema kuna mtu walikuwa wanachinjwa hakuwahi kusikikika mahali popote akikemea. Yeye alijali chama chake tu.
 
Kwa muundo na kufanya kazi kwa mazoea kuwa jeshi la polisi, hapo anampigia mbuzi gitaa ama kumkuna babu sharubu.
Muundo ni pale mtu wa chini anafanya kazi kwa kumuogopa wa juu na wala sio sheria.
 
Jeshi Haliwezi Kuwa Bovu Namna
Hakuna Eneo Lenye Nafuu

Baba Jesca Muda Huu Angempiga Wambura Na Kitu Kizoto
Mpeni Wankyo Nyegesa Muone Haa
 
We nawe unataja vitu gani. Baba jesca ndie aliharibu jeshi kuliko woote. Tena yeye akaona haitoshi akaanza kutumia na wale mabaka mabaka kwenye mishe zake binafsi
 
Kweli Rais amewachoka Polisi na akaeleza wazi kuwa safari ijayo atakitumia kile cheo chale kingine, cha u-amiri jeshi mkuu, kutokana na vitendo vyao vya kutotenda Haki!
Tupe link ya hiyo hotuba aisee.

Safari ya Maridhiano ilikuwa lazima Siro aondoke kwanza
 
Hili ni kumpigia mbuzi gitaa.

Tabia ya jeshi la polisi huwezi kuibadili. Wamesha zowea rushwa, kubambika kesi na wizi.

Juzi tuu Mh. Kinana kaongea kuhusu trafiki kujazana mijini, wakaacha wiki moja, hivi sasa Arusha ngoma imerudi kama mwanzo. Kila mita mia trafiki.
Sheri zetu zinawapa mianya ya kufanya hivyo.
 
Angekuwa serious angevunja upya jeshi atengeneze upya na taratibu mpya za kuendesha jeshi lisitumike kama silaha dhidi ya wananchi masikini maana polisi wanatakiwa ku enforce haki itendeke na kama kuna upande hauridhiki maamuzi ni kizimbani.

Ila jeshi letu limekaa kinjaa njaa, ukiwa na tuhela kidogo hata kama unauza bange huwezi kukaa selo na askari hao hao watakuja kukuungisha kimya kimya ila wakiwa na mkuu wao wanakuja kukujambisha au kukusweka mahabusu.
 
As long as linatumika kuifanya ccm ishinde basi haya mengine ni porojo tu.
 
Kwa kweli Katika hotuba aliyoitoa leo huko kwenye Chuo cha Polisi Moshi, Rais Samia ameamua kuyaweka wazi maovu yanayofanywa na Jeshi hilo la Polisi na hivyo nampongeza Sana Rais wetu kwa ujasiri wake huo.

Kwanza amesisitiza kuwa ni lazima Jeshi la Polisi lizingatie Nidhamu, Haki na Weledi Katika utendaji wao wa Kazi za kila siku.

Ameeleza kuwa Jeshi la Polisi, halina sifa nzuri ndani ya jamii ya Watanzania.

Akisema kuwa Rushwa imekithiri ndani ya Jeshi hilo, akitoa mifano hai kabisa, kama vile askari wa barabarani ambao huwa wanachukua Rushwa waziwazi!

Anaendelea kusisitiza kuwa hata dhamana, ambayo ni Haki ya mtuhumiwa, lakini Jeshi hilo lingekuwa "likiwakamua" watuhumiwa, ikiwa ni uthibitisho wa kauli mbiu ya sisi raia, kuwa kuingia kwenye selo za Polisi ni bure, lakini kutoka ni kwa Pesa!

Akakemea pia tabia ya Polisi kuwabambikia Kesi raia, ambapo bila kujali, namna wanavyowatesa hao wanaobambikiwa Kesi.

Pia amakemea tabia za Ufisadi, zilizokithiri ndani ya Jeshi hilo la Polisi, akitoa mfano namna Jeshi hilo linavyofanya biashara ya kuuza sare hizo za Polisi kwa Majeshi mengine kama vile kwa Jeshi la zimamoto.

Akaomgeza namna maafisa wa Jeshi hilo, wanavyotumia bajeti ya mafuta ya Jeshi hilo na kuyapeleka kwenye magari yao binafsi!

Nampongeza Sana Rais Samia kwa kuyaanika hadharani maovu hayo ya Jeshi la Polisi, ambapo sisi raia wema, tumekuwa tukiyakemea maovu hayo kwa kipindi kirefu Sana, lakini yamekuwa hayasikilizwi kabisa.
Kuanika uozo ni jambo moja na kusimamia mabadiliko ya kuondoa uozo no jambo lingine huu ni wakati wa kusimamia uozo uondoke sio kuuanika tu
 
Kusema ni kazi bure tu. Hata wewe mtoa andiko unaweza sema. Cha kusikitisha kamtumbua nani? Makosa ya kutisha anaishia kusema tu. Kwenye uongozi bila hatua za kujeruhi wahusika kwa kuwafukuza ili kupoteza kazi na marupurupu ni sawa na kupigia gitaa mbuzi.
Kutumbua tena kwa kuwaabisha vigogo inaleta hofu na uoga. Wanakua na nidhamu ya uoga na chuki lakini nidhamu inakuepo na weledi hatimae unatumika badala lengo kazini kua ni kupiga hela ya umma. Nidhamu ya uoga ni kama mtu hajui wajibu wake ila vigogo wanakua wameazimia ufisadi hivyo lazima nguvu kutumika badala ya kubembelezana.
 
Back
Top Bottom