Ni kweli kabisa.raisi wetu hata kama anafanya mabaya ila yale anayokwenda sawa lizima tuyaone
kukemea wazi wazi kwa matemdo hayo mabaya ni dawa pia kwakua kama mkuu wa nchi kaliongeea lazima wastuke na hali itapungua me nampongeza kwa hilo tusiwe watubwa kuona mabaya tu kwa mtu ipo siku atakuja mtu sahihi na hatutaona utendaji wake.
hata MAGUFULI alikua na mema na mabaya yake lakini alipokua madarakani mabaya ndio yaliongelewa zaidi
Kitendo cha Kukemea tu ni hatu moja nzuri.Kwa kweli Katika hotuba aliyoitoa leo huko kwenye Chuo cha Polisi Moshi, Rais Samia ameamua kuyaweka wazi maovu yanayofanywa na Jeshi hilo la Polisi na hivyo nampongeza Sana Rais wetu kwa ujasiri wake huo.
Kwanza amesisitiza kuwa ni lazima Jeshi la Polisi lizingatie Nidhamu, Haki na Weledi Katika utendaji wao wa Kazi za kila siku.
Ameeleza kuwa Jeshi la Polisi, halina sifa nzuri ndani ya jamii ya Watanzania.
Akisema kuwa Rushwa imekithiri ndani ya Jeshi hilo, akitoa mifano hai kabisa, kama vile askari wa barabarani ambao huwa wanachukua Rushwa waziwazi!
Anaendelea kusisitiza kuwa hata dhamana, ambayo ni Haki ya mtuhumiwa, lakini Jeshi hilo lingekuwa "likiwakamua" watuhumiwa, ikiwa ni uthibitisho wa kauli mbiu ya sisi raia, kuwa kuingia kwenye selo za Polisi ni bure, lakini kutoka ni kwa Pesa!
Akakemea pia tabia ya Polisi kuwabambikia Kesi raia, ambapo bila kujali, namna wanavyowatesa hao wanaobambikiwa Kesi.
Pia amakemea tabia za Ufisadi, zilizokithiri ndani ya Jeshi hilo la Polisi, akitoa mfano namna Jeshi hilo linavyofanya biashara ya kuuza sare hizo za Polisi kwa Majeshi mengine kama vile kwa Jeshi la zimamoto.
Akaomgeza namna maafisa wa Jeshi hilo, wanavyotumia bajeti ya mafuta ya Jeshi hilo na kuyapeleka kwenye magari yao binafsi!
Nampongeza Sana Rais Samia kwa kuyaanika hadharani maovu hayo ya Jeshi la Polisi, ambapo sisi raia wema, tumekuwa tukiyakemea maovu hayo kwa kipindi kirefu Sana, lakini yamekuwa hayasikilizwi kabisa.
Hi ni jambo jema kuna mtu walikuwa wanachinjwa hakuwahi kusikikika mahali popote akikemea. Yeye alijali chama chake tu.raisi wetu hata kama anafanya mabaya ila yale anayokwenda sawa lizima tuyaone
kukemea wazi wazi kwa matemdo hayo mabaya ni dawa pia kwakua kama mkuu wa nchi kaliongeea lazima wastuke na hali itapungua me nampongeza kwa hilo tusiwe watubwa kuona mabaya tu kwa mtu ipo siku atakuja mtu sahihi na hatutaona utendaji wake.
hata MAGUFULI alikua na mema na mabaya yake lakini alipokua madarakani mabaya ndio yaliongelewa zaidi
Muundo ni pale mtu wa chini anafanya kazi kwa kumuogopa wa juu na wala sio sheria.Kwa muundo na kufanya kazi kwa mazoea kuwa jeshi la polisi, hapo anampigia mbuzi gitaa ama kumkuna babu sharubu.
Kwa kuanika tu ni hatua nzuri kwa hali ya tanzaniaKuchukua hatua ni muhimu zaidi kuliko kuanika
🤣🤣🤣anatuzuka kwenye majukwaaWanaokula rushwa unawapa vyeo unapata wapi hayo maneno ya kuongea🚮
We nawe unataja vitu gani. Baba jesca ndie aliharibu jeshi kuliko woote. Tena yeye akaona haitoshi akaanza kutumia na wale mabaka mabaka kwenye mishe zake binafsiJeshi Haliwezi Kuwa Bovu Namna
Hakuna Eneo Lenye Nafuu
Baba Jesca Muda Huu Angempiga Wambura Na Kitu Kizoto
Mpeni Wankyo Nyegesa Muone Haa
Tupe link ya hiyo hotuba aisee.Kweli Rais amewachoka Polisi na akaeleza wazi kuwa safari ijayo atakitumia kile cheo chale kingine, cha u-amiri jeshi mkuu, kutokana na vitendo vyao vya kutotenda Haki!
We una akili za kitotoIlibidi apewe semina kabla ya kuanza kutoa hotuba,asi-wa-u derrate wakati haohao ndiyo wanaosafisha njia,akiwa na msafara,na wanashika vyombo vya moto.
Sheri zetu zinawapa mianya ya kufanya hivyo.Hili ni kumpigia mbuzi gitaa.
Tabia ya jeshi la polisi huwezi kuibadili. Wamesha zowea rushwa, kubambika kesi na wizi.
Juzi tuu Mh. Kinana kaongea kuhusu trafiki kujazana mijini, wakaacha wiki moja, hivi sasa Arusha ngoma imerudi kama mwanzo. Kila mita mia trafiki.
Hatua gani achukue? Kama Kingai mbambika kesi katunukiwa uDCi ni kitu gani ana ongea? Na kwa manufaa ya nani kama sio geresha?Kuchukua hatua ni muhimu zaidi kuliko kuanika
Nani anaweza kama hataki kukipata cha moto?Unatangazaje hadharani madhaifu ya jeshi lako wakianza kukuhujumu utatuambia!?
As long as linatumika kuifanya ccm ishinde basi haya mengine ni porojo tu.Angekuwa serious angevunja upya jeshi atengeneze upya na taratibu mpya za kuendesha jeshi lisitumike kama silaha dhidi ya wananchi masikini maana polisi wanatakiwa ku enforce haki itendeke na kama kuna upande hauridhiki maamuzi ni kizimbani.
Ila jeshi letu limekaa kinjaa njaa, ukiwa na tuhela kidogo hata kama unauza bange huwezi kukaa selo na askari hao hao watakuja kukuungisha kimya kimya ila wakiwa na mkuu wao wanakuja kukujambisha au kukusweka mahabusu.
Kuanika uozo ni jambo moja na kusimamia mabadiliko ya kuondoa uozo no jambo lingine huu ni wakati wa kusimamia uozo uondoke sio kuuanika tuKwa kweli Katika hotuba aliyoitoa leo huko kwenye Chuo cha Polisi Moshi, Rais Samia ameamua kuyaweka wazi maovu yanayofanywa na Jeshi hilo la Polisi na hivyo nampongeza Sana Rais wetu kwa ujasiri wake huo.
Kwanza amesisitiza kuwa ni lazima Jeshi la Polisi lizingatie Nidhamu, Haki na Weledi Katika utendaji wao wa Kazi za kila siku.
Ameeleza kuwa Jeshi la Polisi, halina sifa nzuri ndani ya jamii ya Watanzania.
Akisema kuwa Rushwa imekithiri ndani ya Jeshi hilo, akitoa mifano hai kabisa, kama vile askari wa barabarani ambao huwa wanachukua Rushwa waziwazi!
Anaendelea kusisitiza kuwa hata dhamana, ambayo ni Haki ya mtuhumiwa, lakini Jeshi hilo lingekuwa "likiwakamua" watuhumiwa, ikiwa ni uthibitisho wa kauli mbiu ya sisi raia, kuwa kuingia kwenye selo za Polisi ni bure, lakini kutoka ni kwa Pesa!
Akakemea pia tabia ya Polisi kuwabambikia Kesi raia, ambapo bila kujali, namna wanavyowatesa hao wanaobambikiwa Kesi.
Pia amakemea tabia za Ufisadi, zilizokithiri ndani ya Jeshi hilo la Polisi, akitoa mfano namna Jeshi hilo linavyofanya biashara ya kuuza sare hizo za Polisi kwa Majeshi mengine kama vile kwa Jeshi la zimamoto.
Akaomgeza namna maafisa wa Jeshi hilo, wanavyotumia bajeti ya mafuta ya Jeshi hilo na kuyapeleka kwenye magari yao binafsi!
Nampongeza Sana Rais Samia kwa kuyaanika hadharani maovu hayo ya Jeshi la Polisi, ambapo sisi raia wema, tumekuwa tukiyakemea maovu hayo kwa kipindi kirefu Sana, lakini yamekuwa hayasikilizwi kabisa.
Halafu Nini kitatokea?Mbowe atakuwa mwenyekiti wa Parole
Kusema ni kazi bure tu. Hata wewe mtoa andiko unaweza sema. Cha kusikitisha kamtumbua nani? Makosa ya kutisha anaishia kusema tu. Kwenye uongozi bila hatua za kujeruhi wahusika kwa kuwafukuza ili kupoteza kazi na marupurupu ni sawa na kupigia gitaa mbuzi.Kwa kweli Katika hotuba aliyoitoa leo huko kwenye Chuo cha Polisi Moshi, Rais Samia ameamua kuyaweka wazi maovu yanayofanywa na Jeshi hilo la Polisi na hivyo nampongeza Sana Rais wetu kwa ujasiri wake huo.