G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Negative za Kikwete ni kwenye kuruhusu ufisadi wa wazi wazi. Kwenye demokrasia alikuwa na uafadhali. Huyu mama Samia akaamua kubeba hilo la kuruhusu ufisadi wa wazi wazi akaamua kwenda nalo na kuacha hilo la demokrasia. Hilo ameona siyo kipaumbele chake.
Hayati Magufuli yeye hakuruhusu ufisadi wa wazi wazi alijitahidi kuudhibiti. Ila utawala wake watu waliua na kuwapoteza Hili naona mama Samia kaona lina umuhimu akaenda nalo.
Kwenye utawala wake watu wanapotea na hakuna uwajibishwaji labda wapinzani nchi hii ni mbwa na Samia ndiyo maana wakipatwa na madhila wala hata hajali. Anaona ni sawa kwake.
Kwa maana hiyo huyu ndiye Rais mbovu zaidi dhidi ya watangulizi wake. Amebeba mabaya ya watangulizi akaenda nayo mbele kuyatekeleza.
Kusema kweli kama atapita kwa miaka mingine mitano basi kazi tunayo kwenye nchi hii.