Rais Samia amechukua negative za Kikwete na Negative za Magufuli akaziweka pamoja na ndiyo mpango wake wa utekelezaji

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Negative za Kikwete ni kwenye kuruhusu ufisadi wa wazi wazi. Kwenye demokrasia alikuwa na uafadhali. Huyu mama Samia akaamua kubeba hilo la kuruhusu ufisadi wa wazi wazi akaamua kwenda nalo na kuacha hilo la demokrasia. Hilo ameona siyo kipaumbele chake.

Hayati Magufuli yeye hakuruhusu ufisadi wa wazi wazi alijitahidi kuudhibiti. Ila utawala wake watu waliua na kuwapoteza Hili naona mama Samia kaona lina umuhimu akaenda nalo.

Kwenye utawala wake watu wanapotea na hakuna uwajibishwaji labda wapinzani nchi hii ni mbwa na Samia ndiyo maana wakipatwa na madhila wala hata hajali. Anaona ni sawa kwake.

Kwa maana hiyo huyu ndiye Rais mbovu zaidi dhidi ya watangulizi wake. Amebeba mabaya ya watangulizi akaenda nayo mbele kuyatekeleza.

Kusema kweli kama atapita kwa miaka mingine mitano basi kazi tunayo kwenye nchi hii.
 
Upo sahihi sana. Kwa haya yanayotendeka, kwa kweli huyu mama ndiye kiongozi wa hovyo kuliko yeyote aliyewahi kuwa kiongozi.

FIkiria watu wake wamefikia mpaka kuwalawiti wanaowakosoa, halafu wanawalawiti huku wakitaja jina la mama. Kumtaja huyu mama wakati wakifanya huo ushetani, ni kumtia moja kwa moja huyu mama katika laana.
 
Kwa nguvu ya ulaghai, wizi, ulafi na uchafu wote uliopo ccm, ni dhahiri maza anakuwa mtawala kwa miaka mingine mitano. We are in for a very deep shit, hilo halina pingamizi...we know it, we got to get prepared!
 
Kwa nguvu ya ulaghai, wizi, ulafi na uchagu wote uliopo ccm, ni dhahiri maza anakuwa mtawala kwa miaka mingine mitano. We are in for a very deep shit, hilo halina pingamizi...we know it, we got to get prepared!
Uzuri wao wakikuchoka wanaku RIP tu.

Wanatunguana wenyewe kwa wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…