Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.
Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo Bora, Hii ndio maana watanzania kwa pamoja wameamua kumuunga mkono mh Rais kwa kuchangia kiasi kutoka katika vipato vyao bila shida yoyote.
Watanzania wametambua kuwa nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, na kwamba hata hao walio endelea na kutupatia misaada walianza kwa kuchangishana kupitia vipato vyao, hata hivyo watanzania kwa Sasa wametambua kuwa hatutaweza Kuendelea kwa haraka kupitia misaada na mikopo pekee, ili Tuendelee lazima tubebe mzigo wetu wenyewe na hiyo misaada na mikopo iwe ziada katika juhudi zetu na jukumu la msingi likibaki mikononi mwetu.
Watanzania wametambua kuwa Ni lazima tujinyime, tujibane, Tuwe na vipaombele, tuwa wazalendo, Tuwe na Nidhamu kwa kila sent tuipatayo ili tupeleke katika kuijenga nchi yetu, watanzania wamekuwa na Imani kubwa na mh Rais katika usimamaizi wa fedha za umma.
Sasa watanzania wapo bize katika kuijenga nchi yetu, hawataki kumsikiliza mtu anayewashauri kwamba wasiijenge nchi yao, kwa kuwa kwa Sasa wanaona namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyojengwa na kusogezwa huduma karibu yao, hawataki mizigo ya madeni hata kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe, hawataki tuwajazie madeni vizazi vijavyo kwa kukwepa wajibu wetu, wanataka wajibu wetu na mzigo wetu tuubebe Wenyewe.
Mh Rais ameongoza njia ya maendeleo na watanzania wameamua kumfuata na kumuunga mkono na hili hata utafiti wa Twaweza umelithibitisha, Tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kila namna bila kumsubili mtu, tujivunie maendeleo yanayotokana na juhudi zetu wenyewe.