Rais Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya uzalendo kwenye mioyo ya watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe

Kwa uungwaji mkono alionao mh Rais na namna anavyokubalika nakuhakikishia kuwa mh Rais anakwenda kuzoa kura Zote uchaguzi ujao, maana amebeba na anatekeleza Sera na ajenda zinazogusa maisha ya mtanzania mnyonge
Sema sera za CCM....chama tawala...sera zinagusa maisha ya mnyonge kweli...unakumbuka JPM alivyokuwa akitambua wanyonge..mama Samia Rais wetu anaendeleza kutokea pale alipoacha mtangulizi wake..anajitahidi sana..aungwe mkono tujenge nchi yetu
 
Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.

Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo Bora, Hii ndio maana watanzania kwa pamoja wameamua kumuunga mkono mh Rais kwa kuchangia kiasi kutoka katika vipato vyao bila shida yoyote.

Watanzania wametambua kuwa nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, na kwamba hata hao walio endelea na kutupatia misaada walianza kwa kuchangishana kupitia vipato vyao, hata hivyo watanzania kwa Sasa wametambua kuwa hatutaweza Kuendelea kwa haraka kupitia misaada na mikopo pekee, ili Tuendelee lazima tubebe mzigo wetu wenyewe na hiyo misaada na mikopo iwe ziada katika juhudi zetu na jukumu la msingi likibaki mikononi mwetu.

Watanzania wametambua kuwa Ni lazima tujinyime, tujibane, Tuwe na vipaombele, tuwa wazalendo, Tuwe na Nidhamu kwa kila sent tuipatayo ili tupeleke katika kuijenga nchi yetu, watanzania wamekuwa na Imani kubwa na mh Rais katika usimamaizi wa fedha za umma.

Sasa watanzania wapo bize katika kuijenga nchi yetu, hawataki kumsikiliza mtu anayewashauri kwamba wasiijenge nchi yao, kwa kuwa kwa Sasa wanaona namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyojengwa na kusogezwa huduma karibu yao, hawataki mizigo ya madeni hata kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe, hawataki tuwajazie madeni vizazi vijavyo kwa kukwepa wajibu wetu, wanataka wajibu wetu na mzigo wetu tuubebe Wenyewe.

Mh Rais ameongoza njia ya maendeleo na watanzania wameamua kumfuata na kumuunga mkono na hili hata utafiti wa Twaweza umelithibitisha, Tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kila namna bila kumsubili mtu, tujivunie maendeleo yanayotokana na juhudi zetu wenyewe.
Hizo ndo propaganda mnaelekezwa kupostii mitandaoni ili mkusanye vigezo vya kupewa teuzi!!??
Watanzania hawa si wajinga tena!
 
Kwani wewe huoni kazi alizozifanya mh Rais, kwamba wewe huoni miradi ya shule, zahanati, vituo vya Afya, na hata huduma za umeme na maji zilivyo pelekwa Hadi vijijini, huoni juhudi za mh Rais katika kuleta mapinduzi ya kilimo hasa baada ya kuongeza bajeti na kutoa Ruzuku ya billioni Mia moja hamsini? Huoni ajira zikitolewa kwa vijana kupitia hiyo miradi na hata za serikali,

Huoni namna uwekezaji unavyoongezeka nchini kutokanaa na mh Rais kuimarisha diplomasia yetu, huoni mafuriko ya watalii yalivyo baada ya juhudi za mh Rais kufanyika katika secta ya utalii, huoni au umejipa upofu?
Mkuu maelezo haya next time weka takwimu ili kuthibitisha maelezo mazuri uliyotoa..
 
Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.

Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo Bora, Hii ndio maana watanzania kwa pamoja wameamua kumuunga mkono mh Rais kwa kuchangia kiasi kutoka katika vipato vyao bila shida yoyote.

Watanzania wametambua kuwa nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, na kwamba hata hao walio endelea na kutupatia misaada walianza kwa kuchangishana kupitia vipato vyao, hata hivyo watanzania kwa Sasa wametambua kuwa hatutaweza Kuendelea kwa haraka kupitia misaada na mikopo pekee, ili Tuendelee lazima tubebe mzigo wetu wenyewe na hiyo misaada na mikopo iwe ziada katika juhudi zetu na jukumu la msingi likibaki mikononi mwetu.

Watanzania wametambua kuwa Ni lazima tujinyime, tujibane, Tuwe na vipaombele, tuwa wazalendo, Tuwe na Nidhamu kwa kila sent tuipatayo ili tupeleke katika kuijenga nchi yetu, watanzania wamekuwa na Imani kubwa na mh Rais katika usimamaizi wa fedha za umma.

Sasa watanzania wapo bize katika kuijenga nchi yetu, hawataki kumsikiliza mtu anayewashauri kwamba wasiijenge nchi yao, kwa kuwa kwa Sasa wanaona namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyojengwa na kusogezwa huduma karibu yao, hawataki mizigo ya madeni hata kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe, hawataki tuwajazie madeni vizazi vijavyo kwa kukwepa wajibu wetu, wanataka wajibu wetu na mzigo wetu tuubebe Wenyewe.

Mh Rais ameongoza njia ya maendeleo na watanzania wameamua kumfuata na kumuunga mkono na hili hata utafiti wa Twaweza umelithibitisha, Tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kila namna bila kumsubili mtu, tujivunie maendeleo yanayotokana na juhudi zetu wenyewe.
Hapo kwenye NENO MBEGU UZALENDO umekosea ulitakiwa kuandika MBEGU YA ASALI
 
Mada za kumpamba mama "yao" zimekuwa nyingi sana ..... Knacho nakisi hapa ni UOGA WA HALI YA JUU WA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI ...Ina tumia Hawa machawa/kupe kupima upepo.
Kazi iliyofanywa na mh Rais wetu imempa nafasi ya kuwa katika mioyo ya watanzania muda wote
 
Mambo unayoandika mkuu,

Kama vile hauna kichwa kabisa.

Ila naamini kuna wakati ukisoma mada zako huwa unacheka mwenyewe.

Akili zikikurudia lakini.
 
Naandika Yale niliyona uhakika nayo na ninayoyaona yakitendeka huku mtaani kwangu kwa namna mh Rais alivyo panda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania na juhudi zake katika kugusa maisha ya watanzania kwa kutatua na kushughulikia kero mbalimbali
 
Ningejua ulipo mkuu ningekupiga risasi nipunguze kura moja
Usiwe na mawazo ya namna hiyo ndugu yangu maana tunaweza tukatofautiana kimtizamo lakini tukakubaliana katika hoja ya kwamba nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe

Lakini pia usipande mbegu katika moyo wako ya kutaka kumwaga damu ya mtu yoyote Yule unayetofautiana kimtizamo, mpende hata unayetofautiana Naye, unafikiri ukiwa na mawazo ya namna hiyo unazani utaua wangapi? Je ukiwamaliza kuwaua utaongoza wa akina Nani? Unazani hata watakao kupa kura Hakuna siku watakupinga na kukukosoa? Jee nao utawaua Tena

Mimi Nakusamehe bure tu bila shida maana Mimi moyo wangu Ni waupendo kwa watu wote hata ninao tofautiana nao na huwa natamanii Kama ningekuwa na uwezo ningeweza kusaidia wengi wenye kuhitaji msaada , macho yangu na moyo wangu unaguswa na shida za watu na kutamani kusaidia, jifunze kupenda hata unaotofautiana nao, upendo haupimwi kwa wale uwapendao Bali kwa wale unaotofautiana nao
 
Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.

Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo Bora, Hii ndio maana watanzania kwa pamoja wameamua kumuunga mkono mh Rais kwa kuchangia kiasi kutoka katika vipato vyao bila shida yoyote.

Watanzania wametambua kuwa nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, na kwamba hata hao walio endelea na kutupatia misaada walianza kwa kuchangishana kupitia vipato vyao, hata hivyo watanzania kwa Sasa wametambua kuwa hatutaweza Kuendelea kwa haraka kupitia misaada na mikopo pekee, ili Tuendelee lazima tubebe mzigo wetu wenyewe na hiyo misaada na mikopo iwe ziada katika juhudi zetu na jukumu la msingi likibaki mikononi mwetu.

Watanzania wametambua kuwa Ni lazima tujinyime, tujibane, Tuwe na vipaombele, tuwa wazalendo, Tuwe na Nidhamu kwa kila sent tuipatayo ili tupeleke katika kuijenga nchi yetu, watanzania wamekuwa na Imani kubwa na mh Rais katika usimamaizi wa fedha za umma.

Sasa watanzania wapo bize katika kuijenga nchi yetu, hawataki kumsikiliza mtu anayewashauri kwamba wasiijenge nchi yao, kwa kuwa kwa Sasa wanaona namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyojengwa na kusogezwa huduma karibu yao, hawataki mizigo ya madeni hata kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe, hawataki tuwajazie madeni vizazi vijavyo kwa kukwepa wajibu wetu, wanataka wajibu wetu na mzigo wetu tuubebe Wenyewe.

Mh Rais ameongoza njia ya maendeleo na watanzania wameamua kumfuata na kumuunga mkono na hili hata utafiti wa Twaweza umelithibitisha, Tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kila namna bila kumsubili mtu, tujivunie maendeleo yanayotokana na juhudi zetu wenyewe.
Ifike mahali kabla ya watu kuingia Jf wapimwe akili aisee nimechoka Kwa hizi mada.
 
Kiukweli tunaomkubali Samia ni wengi ila 2025 Hawa watukanaji humu mitandaoni hawataamini wamebaki na wimbo wa tozo tu hawana jipya
 
Back
Top Bottom