Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Ni kweli tupuHata upewe usimamaizi wa tume bado huwezi kumshinda mh Rais, huwezi kuambulia kitu, huwezi maliza hata kampenii, mh Rais kabeba Sera na ajenda za wananchi na kuzitekeleza kwa Kasi, wananchi wameridhishwa na utendaji kazi wake Ndio maana unaona nchi ikiwa Tulivu na watu wakiendelea na kazi kumuunga mkono mh Rais aliyegusa maisha yao,
utawaambia Nini wakulima mpaka wakuelewa wakati wanaona juhudi za Rais kuwainua kiuchumi?
Wekeni Sasa ,leta na Katiba mpya kuruhusu Mgombea binfsi,alafu tuingie mtanange, saa sita mchana kwisha, mnakaa na kumpaka mafuta KWa mgongo wa chupa,WENDA sie ndo tunampenda kuliko team mapambio, huku chini hawamwelewi, sawa Mkuu WaziriHata upewe usimamaizi wa tume bado huwezi kumshinda mh Rais, huwezi kuambulia kitu, huwezi maliza hata kampenii, mh Rais kabeba Sera na ajenda za wananchi na kuzitekeleza kwa Kasi, wananchi wameridhishwa na utendaji kazi wake Ndio maana unaona nchi ikiwa Tulivu na watu wakiendelea na kazi kumuunga mkono mh Rais aliyegusa maisha yao,
utawaambia Nini wakulima mpaka wakuelewa wakati wanaona juhudi za Rais kuwainua kiuchumi?
Ndio maana wananchi wanampongeza Sana mh Rais wetu maana wameona kwa vitendo namna mh Rais wetu anavyosimamia vizuri Kodi zetu, wameona matunda ya Kodi zetu na wapo bega kwa bega na mh Rais katika juhudi za kuijenga nchi yetu na bado watanzania tunamhitaji mh Rais wetu aendelee kututumikiaKwani Izo pesa anatoa mfukoni mwake?si kodi zetu, ni wajibu kurudisha kodi zetu, Sasa kipi Cha ajabu hapa,
Mwambie akawaondoe wabunge 19 wa mchongo Bungeni alafu uje tumjadili hapa,Yani Kama Mkuu wa nchi ameyaacha majizi pale Bungeni, alafu unakuja na hoja nyepesi za kusifu hapa,
Mh Rais wetu anaeleweka Sana ndio maana unaona akiungwa mkono juhudi zake huku nchi ikiwa Tulivu na yenye Aman na mshikamanoWekeni Sasa ,leta na Katiba mpya kuruhusu Mgombea binfsi,alafu tuingie mtanange, saa sita mchana kwisha, mnakaa na kumpaka mafuta KWa mgongo wa chupa,WENDA sie ndo tunampenda kuliko team mapambio, huku chini hawamwelewi, sawa Mkuu Waziri
Ndio maana wananchi wanampongeza Sana mh Rais wetu maana wameona kwa vitendo namna mh Rais wetu anavyosimamia vizuri Kodi zetu, wameona matunda ya Kodi zetu na wapo bega kwa bega na mh Rais katika juhudi za kuijenga nchi yetu na bado watanzania tunamhitaji mh Rais wetu aendelee kututumikia
Hao wabunge wa chama chako nenda kapambane nao huko mahakamani kulikopelekwa kesi,
Nilimkubali sana huyu mama lakini Kwa style hii ya tozo ilo basi nateremka, hajachelewa bado anaweza kujirekebisha, ila machawa kama mnaendelea kumdanganya mtaduwaa 2025.Kwa uungwaji mkono alionao mh Rais na namna anavyokubalika nakuhakikishia kuwa mh Rais anakwenda kuzoa kura Zote uchaguzi ujao, maana amebeba na anatekeleza Sera na ajenda zinazogusa maisha ya mtanzania mnyonge
Hizo tozo ndizo hata wenzetu mataifa ya ulaya walijifunga mikanda na kujinyima ili wajenge nchi zao kufika hapo walipo fika, Nasi hatuna budi kujibana,kujinyima na kujitolea kwa uzalendo kwa kadri ya vipato vyetu ili kuijenga nchi yetu tutakayoweza kujivunia, kwa kuona kuwa inapendeza kutokanaa na juhudi na kazi za mikono yetu Wenyewe,Nilimkubali sana huyu mama lakini Kwa style hii ya tozo ilo basi nateremka, hajachelewa bado anaweza kujirekebisha, ila machawa kama mnaendelea kumdanganya mtaduwaa 2025.
Kwanza kukuquote mpumbavu kama wewe ni kama bonus, nimeishi ulaya usifananishe kodi wanazolipa ulaya na nchi za kusadikika.Hizo tozo ndizo hata wenzetu mataifa ya ulaya walijifunga mikanda na kujinyima ili wajenge nchi zao kufika hapo walipo fika, Nasi hatuna budi kujibana,kujinyima na kujitolea kwa uzalendo kwa kadri ya vipato vyetu ili kuijenga nchi yetu tutakayoweza kujivunia, kwa kuona kuwa inapendeza kutokanaa na juhudi na kazi za mikono yetu Wenyewe,
Wanazingua Sana ,wao kisa wapo kwenye ulaji basi wanaona Rais ni wakwao tu kumbe ni wa watz wote, bila jali vyama,dini n.k, wahuni tu ,na Hawa kesho akiondoka madarakani wataanza mpiga vijembe, tuliyaona Mwalim,Mzee Mwinyi,Mkapa, Kikwete,mwendazake ,na Sasa wapo KWa SSH, wahuni tuNilimkubali sana huyu mama lakini Kwa style hii ya tozo ilo basi nateremka, hajachelewa bado anaweza kujirekebisha, ila machawa kama mnaendelea kumdanganya mtaduwaa 2025.
Wewe utabaki kuwa mtengeneza asali tu na ujue HUTALAMBA ASALI.....Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.
Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo Bora, Hii ndio maana watanzania kwa pamoja wameamua kumuunga mkono mh Rais kwa kuchangia kiasi kutoka katika vipato vyao bila shida yoyote.
Watanzania wametambua kuwa nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, na kwamba hata hao walio endelea na kutupatia misaada walianza kwa kuchangishana kupitia vipato vyao, hata hivyo watanzania kwa Sasa wametambua kuwa hatutaweza Kuendelea kwa haraka kupitia misaada na mikopo pekee, ili Tuendelee lazima tubebe mzigo wetu wenyewe na hiyo misaada na mikopo iwe ziada katika juhudi zetu na jukumu la msingi likibaki mikononi mwetu.
Watanzania wametambua kuwa Ni lazima tujinyime, tujibane, Tuwe na vipaombele, tuwa wazalendo, Tuwe na Nidhamu kwa kila sent tuipatayo ili tupeleke katika kuijenga nchi yetu, watanzania wamekuwa na Imani kubwa na mh Rais katika usimamaizi wa fedha za umma.
Sasa watanzania wapo bize katika kuijenga nchi yetu, hawataki kumsikiliza mtu anayewashauri kwamba wasiijenge nchi yao, kwa kuwa kwa Sasa wanaona namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyojengwa na kusogezwa huduma karibu yao, hawataki mizigo ya madeni hata kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe, hawataki tuwajazie madeni vizazi vijavyo kwa kukwepa wajibu wetu, wanataka wajibu wetu na mzigo wetu tuubebe Wenyewe.
Mh Rais ameongoza njia ya maendeleo na watanzania wameamua kumfuata na kumuunga mkono na hili hata utafiti wa Twaweza umelithibitisha, Tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kila namna bila kumsubili mtu, tujivunie maendeleo yanayotokana na juhudi zetu wenyewe.
Yote heri tu lakini ilimradi sisi wakulima na watanzania tunafaidika na kazi ya mh Rais wetu tunaendelea kumuunga mkono mh RaisWewe utabaki kuwa mtengeneza asali tu na ujue HUTALAMBA ASALI.....
Unafikiri walipo kuwa wanaanza walianzia hapo kimaendeleo au unazani walishushiwa haya mafanikio, walianza kwa kuvuja jasho na kujifunga mikanda, Sasa wewe unataka Nani akujengee nchi yako?Kwanza kukuquote mpumbavu kama wewe ni kama bonus, nimeishi ulaya usifananishe kodi wanazolipa ulaya na nchi za kusadikika.
Tanzania kiongozi gani anapanda treni au basi la mwendo kasi kwenda ofisini? Au ni waziri yupi anaendesha baiskeli?
Unadhani ulaya kuna Land cruisers V8? Jinga pumbavu kabisa.
Watanzania?N
Ni maneno ya uhalisia juu ya maamuzi ya watanzania katika kuamua kumuunga mkono mh Rais
Aisee..!!Kwani huoni namna mh Rais alivyoibadilisha Tanzania kwa kuifanya kuwa na maendeleo karibu ya mwananchi, huoni namna ambavyo mwananchi amepunguziwa adha ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma
Rais Ni wa watanzania wote Ndio maana hakuna niliposema mh Rais Ni wa kundi fulani, Ndio maana unaona hata mh Rais mwenyewe anatutumikia wote kwa pamoja kwa usawa bila ubaguzi wowote, Jambo kulikopelekwa mh Rais kupata uungwaji mkono mkubwa Sana kutoka kwa mamilioni ya watanzaniaWanazingua Sana ,wao kisa wapo kwenye ulaji basi wanaona Rais ni wakwao tu kumbe ni wa watz wote, bila jali vyama,dini n.k, wahuni tu ,na Hawa kesho akiondoka madarakani wataanza mpiga vijembe, tuliyaona Mwalim,Mzee Mwinyi,Mkapa, Kikwete,mwendazake ,na Sasa wapo KWa SSH, wahuni tu
NdioWatanzania?
Anawatega huyu jamaa.. yuko kazin anakusanya maoni.. shaur yenu . Nyie lopokeniWewe umepanda daraja, si chawa tena bali KUPE wa kilo moja umengagania ngozio ya Samia mpaka kukuondoa lazima kwa mtaimbo