Sema sera za CCM....chama tawala...sera zinagusa maisha ya mnyonge kweli...unakumbuka JPM alivyokuwa akitambua wanyonge..mama Samia Rais wetu anaendeleza kutokea pale alipoacha mtangulizi wake..anajitahidi sana..aungwe mkono tujenge nchi yetuKwa uungwaji mkono alionao mh Rais na namna anavyokubalika nakuhakikishia kuwa mh Rais anakwenda kuzoa kura Zote uchaguzi ujao, maana amebeba na anatekeleza Sera na ajenda zinazogusa maisha ya mtanzania mnyonge
Hizo ndo propaganda mnaelekezwa kupostii mitandaoni ili mkusanye vigezo vya kupewa teuzi!!??Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.
Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo Bora, Hii ndio maana watanzania kwa pamoja wameamua kumuunga mkono mh Rais kwa kuchangia kiasi kutoka katika vipato vyao bila shida yoyote.
Watanzania wametambua kuwa nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, na kwamba hata hao walio endelea na kutupatia misaada walianza kwa kuchangishana kupitia vipato vyao, hata hivyo watanzania kwa Sasa wametambua kuwa hatutaweza Kuendelea kwa haraka kupitia misaada na mikopo pekee, ili Tuendelee lazima tubebe mzigo wetu wenyewe na hiyo misaada na mikopo iwe ziada katika juhudi zetu na jukumu la msingi likibaki mikononi mwetu.
Watanzania wametambua kuwa Ni lazima tujinyime, tujibane, Tuwe na vipaombele, tuwa wazalendo, Tuwe na Nidhamu kwa kila sent tuipatayo ili tupeleke katika kuijenga nchi yetu, watanzania wamekuwa na Imani kubwa na mh Rais katika usimamaizi wa fedha za umma.
Sasa watanzania wapo bize katika kuijenga nchi yetu, hawataki kumsikiliza mtu anayewashauri kwamba wasiijenge nchi yao, kwa kuwa kwa Sasa wanaona namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyojengwa na kusogezwa huduma karibu yao, hawataki mizigo ya madeni hata kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe, hawataki tuwajazie madeni vizazi vijavyo kwa kukwepa wajibu wetu, wanataka wajibu wetu na mzigo wetu tuubebe Wenyewe.
Mh Rais ameongoza njia ya maendeleo na watanzania wameamua kumfuata na kumuunga mkono na hili hata utafiti wa Twaweza umelithibitisha, Tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kila namna bila kumsubili mtu, tujivunie maendeleo yanayotokana na juhudi zetu wenyewe.
Mkuu maelezo haya next time weka takwimu ili kuthibitisha maelezo mazuri uliyotoa..Kwani wewe huoni kazi alizozifanya mh Rais, kwamba wewe huoni miradi ya shule, zahanati, vituo vya Afya, na hata huduma za umeme na maji zilivyo pelekwa Hadi vijijini, huoni juhudi za mh Rais katika kuleta mapinduzi ya kilimo hasa baada ya kuongeza bajeti na kutoa Ruzuku ya billioni Mia moja hamsini? Huoni ajira zikitolewa kwa vijana kupitia hiyo miradi na hata za serikali,
Huoni namna uwekezaji unavyoongezeka nchini kutokanaa na mh Rais kuimarisha diplomasia yetu, huoni mafuriko ya watalii yalivyo baada ya juhudi za mh Rais kufanyika katika secta ya utalii, huoni au umejipa upofu?
Hapo kwenye NENO MBEGU UZALENDO umekosea ulitakiwa kuandika MBEGU YA ASALINdugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.
Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo Bora, Hii ndio maana watanzania kwa pamoja wameamua kumuunga mkono mh Rais kwa kuchangia kiasi kutoka katika vipato vyao bila shida yoyote.
Watanzania wametambua kuwa nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, na kwamba hata hao walio endelea na kutupatia misaada walianza kwa kuchangishana kupitia vipato vyao, hata hivyo watanzania kwa Sasa wametambua kuwa hatutaweza Kuendelea kwa haraka kupitia misaada na mikopo pekee, ili Tuendelee lazima tubebe mzigo wetu wenyewe na hiyo misaada na mikopo iwe ziada katika juhudi zetu na jukumu la msingi likibaki mikononi mwetu.
Watanzania wametambua kuwa Ni lazima tujinyime, tujibane, Tuwe na vipaombele, tuwa wazalendo, Tuwe na Nidhamu kwa kila sent tuipatayo ili tupeleke katika kuijenga nchi yetu, watanzania wamekuwa na Imani kubwa na mh Rais katika usimamaizi wa fedha za umma.
Sasa watanzania wapo bize katika kuijenga nchi yetu, hawataki kumsikiliza mtu anayewashauri kwamba wasiijenge nchi yao, kwa kuwa kwa Sasa wanaona namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyojengwa na kusogezwa huduma karibu yao, hawataki mizigo ya madeni hata kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe, hawataki tuwajazie madeni vizazi vijavyo kwa kukwepa wajibu wetu, wanataka wajibu wetu na mzigo wetu tuubebe Wenyewe.
Mh Rais ameongoza njia ya maendeleo na watanzania wameamua kumfuata na kumuunga mkono na hili hata utafiti wa Twaweza umelithibitisha, Tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kila namna bila kumsubili mtu, tujivunie maendeleo yanayotokana na juhudi zetu wenyewe.
Hapana Ni ujenzi wa nchi yetu kwa manufaa yetu sote watanzania,Huku sio kujenga nchi ni kuporwa waziwazi kabisa
Kazi iliyofanywa na mh Rais wetu imempa nafasi ya kuwa katika mioyo ya watanzania muda woteMada za kumpamba mama "yao" zimekuwa nyingi sana ..... Knacho nakisi hapa ni UOGA WA HALI YA JUU WA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI ...Ina tumia Hawa machawa/kupe kupima upepo.
Naandika Yale niliyona uhakika nayo na ninayoyaona yakitendeka huku mtaani kwangu kwa namna mh Rais alivyo panda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania na juhudi zake katika kugusa maisha ya watanzania kwa kutatua na kushughulikia kero mbalimbaliMambo unayoandika mkuu,
Kama vile hauna kichwa kabisa.
Ila naamini kuna wakati ukisoma mada zako huwa unacheka mwenyewe.
Akili zikikurudia lakini.
Usiwe na mawazo ya namna hiyo ndugu yangu maana tunaweza tukatofautiana kimtizamo lakini tukakubaliana katika hoja ya kwamba nchi yetu itajengwa na sisi wenyeweNingejua ulipo mkuu ningekupiga risasi nipunguze kura moja
Ifike mahali kabla ya watu kuingia Jf wapimwe akili aisee nimechoka Kwa hizi mada.Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.