Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani alikuta nchi iko katika hali mbaya ya kisiasa lakini aliamua kuunda nguzo 4 (4R) ambazo zitamsaidia katika kuiongoza Tanzania ambazo ni
-Rebuilding (Kujenga Upya)
Kweli tunaona matokea ya hizi sera nne za uongozi wake Maridhiano yalisaidia kwa kiasi kikubwa kutatua migogoro ya kisiasa pia amefanikiwa kuijenga Tanzania mpya yenye amani, upendo na umoja.
Vilevile Jana Rais Samia Suluhu alipokuwa anaongea na wananchi alisema kuwa "Mtanzania yoyote awe wa chama chochote cha siasa tunachotofautiana ni mawazo na fikra lakini pia siwachukulii wapinzani kama maadui nawachukulia kama watu watakaonionyesha changamoto zilipo nizitekeleze" .
Lakini pia naona Rais Samia Suluhu anaendelea kuishi maneno yake alisema kuwa sisi ni taifa moja lazima tuungane maana tunajenga Tanzania moja na kwelii jitihada za kuijenga Tanzania moja zinaonekana zile siasa za matusi hazipo tena na wala hakuna tena watu wasiojulikana wapinzani wanafanya siasa kwa uhuru kabisa kweli mama anaupiga mwingi amefanikiwa kuleta mabadiliko ya kisiasa.
- Reconcilation (Maridhiano)
- Resiliency (Ustahimilivu)