Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tanzania hakuna rais tulie mpigia kura kuna laisi aliewekwa ikulu kupitia makundi ya mauwaji ya ccm yaliyomo jeshini na polisi na ugandaWakuu
Picha za leo kwenye uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ambalo pia ndiyo Makao Makuu ya JWTZ na Wizara ya Ulinzi iliyopigwa na Ikulu
Picha hii inaonyesha Rais akiwa tofauti kimuonekano ukilinganisha na hizi za leo
View attachment 3548050
stress mkuu, huyu mama tuwe tunamuonea huruma anayoyapitia kwa sasa ni mengi....nahisi kuna wakati akiwa peke yake huwa analia kwa uchungu sana..sema mfumo uliopo unamlazimisha aendelee kuwepo pale na kuna watu wanahisi akitoka tu hawatoendelea kunufaika
Ni vigumu kujua utachagua nini kama hujawahi kuwekewa hizo pesa au madaraka makubwa.Nikiwekewa pesa,utajiri na Amani ya moyo nichague kati ya hivyo kwa kweli nitachagua Amani ya moyo bila kuangalia nyuma wala kuwaza mara mbili mbili.
Yaani utulivu wa nafsi na moyo tunauchukulia simple sana ila ukitoweka hata pesa utaiona chungu!Nikiwekewa pesa,utajiri na Amani ya moyo nichague kati ya hivyo kwa kweli nitachagua Amani ya moyo bila kuangalia nyuma wala kuwaza mara mbili mbili.
Chawa na wapigaji wanamtumia ila madaraka anayataka na anayependa haswa, ingekuwa hata Iko ndani ya uwezo wake angetawala milele.Chawa na wapigaji wanamtumia waendelee kula lakini anaonekana kbs hata hayo madaraka hana hamu nayo
Mi nauliza huyu Mama why hakuishia awamu yake iliyopita ili ale Mema ya Nchi vizuri bila stress kama kikwete.Ni vigumu kujua utachagua nini kama hujawahi kuwekewa hizo pesa au madaraka makubwa.
Daaah aiseeNikiwekewa pesa,utajiri na Amani ya moyo nichague kati ya hivyo kwa kweli nitachagua Amani ya moyo bila kuangalia nyuma wala kuwaza mara mbili mbili.
Kuwa seriously πππππ«΅π«΅π«΅Yaani utulivu wa nafai na moyo tunauchukulia simple sana ila ukitoweka hata pesa utaiona chungu!