Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Watanzania hasa wa lumumba wamerogwaUnapewa mkono wa kulia moja wa kushoto wanachukua tatu..., Hekima zaidi ni wangekuwa hawaleti huu upuuzi in the first place ili waje kuuondoa hapo baadae (alafu kama mazuzu tunawasifia)