Rais Samia amefuta Tozo

Unapewa mkono wa kulia moja wa kushoto wanachukua tatu..., Hekima zaidi ni wangekuwa hawaleti huu upuuzi in the first place ili waje kuuondoa hapo baadae (alafu kama mazuzu tunawasifia)
Watanzania hasa wa lumumba wamerogwa
 
Rubbish.
Hizo tozo za mazao zinamgusa mkulima yupi?
Watanzania wanataka afute tozo za miamala ya simu maana zinatuumiza sote.
Na mtaishia hivyo hivyo mpaka end of the world.

Msio na shukran. Hata kiongozi afanye nini nyinyi mtapinga tu.

Rubbish kabisa!
 
Wazee wa kutengeneza matatizo na kuyatatua matatizo yaleyale...
 
Wafute kwanza Tozo za Miamala ya Simu, skuwahi kufungamana na chama chochote kile ila uchaguzi ujao siwez chagua Chama cha huyu mama, Especially akisimama yeye Tena!!!!..
 
Malizia kichwa cha habari kabisa;RAIS SAMIA AFUTA TOZO YA MAZAO ili tujue kinachoongelewa ndani ni nini

kinachopigiwa kelele mtaani mnakijua ni tozo za miamala ya simu ambayo watanzania wote tunahenyeka nazo,mwambieni Rais afute hizo
 
Hata shamba la hayo mazao huna.
 
Hizi kesi bambikizi inawezekana waliozibambika wanamzidi nguvu, maana ikiwa waziri wa afya alisema fulani awekwe ndani kwa kupinga maamuzi ya serikali mtekelezaji amri akasema hawezi kutii hiyo amri!!
Hata ungekuwa wewe ndiye mbambika kesi kama ulivomuita mhusika,ungetekeleza amri ya hovyo kama ile?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]MKULIMA wa TANZANIA Analima kwa Jembe la MKONO Miaka 60 ya Uhuru bado mnamtoza na TOZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…