Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

Mwendazake karibia achapishe noti ili azigawe kwa "wanyonge"
Elfu 10 za JPM tulienda sokoni na KAPU tukanunua bidhaa sokoni LIKAJAA sasa hivi Elfu 10 unaenda sokoni bila KAPU unabeba BIDHAA KIDOGO mkononi
Nani wa kuchapisha hela hapo?
 
Elfu 10 za JPM tulienda sokoni na KAPU tukanunua bidhaa sokoni LIKAJAA sasa hivi Elfu 10 unaenda sokoni bila KAPU unabeba BIDHAA KIDOGO mkononi
Nani wa kuchapisha hela hapo?
Kawapatanishe Ukraine na Urusi, bei zitapoa.
 
Kwa hiyo wafanyabiashara hawahitajiki Tanzania? Acheni wivu wa kijinga kwa kuwa tu wewe ni maskini!!
 
Kwa hiyo wafanyabiashara hawahitajiki Tanzania? Acheni wivu wa kijinga kwa kuwa tu wewe ni maskini!!
shida si wafañyabiashara ni kauli mbovu za viongozi wa siasa wasio na mpangilio na kufikiri kabla ya kutoa kauli zao
 
Kwa akili ya kijamaa mlio nayo Benki ingewezaje kuwa na tija. Ila kukukumbusha tu Benki ya ushirika ndiyo hii leo CRDB. The Cooperate Rural and Development Bank (Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini). Thou nakubaliana na kuimarisha Benki ya Kilimo badala ya kufungua Benki nyingine na Ushirika iwe window tu chini ya TADB.
 
Kawapatanishe Ukraine na Urusi, bei zitapoa.
Makamba amewaambia yeyote anayejua kwenye mafuta bei rahisi akawaambie,na Bashe kamwambia Mpina kama anajua popote duniani kwenye mbolea bei rahisi aende apewe tenda ya kuleta tani laki 4 za mbolea. Bashe amemjibu vizuri sana sana Mpina kiasi hatamrudia tena.
 
Maoligarchies walianza kutengenezwa awamu ya nne, mwendazake akawanyamazisha na sasa wanatengenezwa upya kupitia uwekezaji kwenye miradi ya serikali, what a classical economy growth is this?!
Haya yetu macho kwa ushauri anaopewa mama.
 
Kila mmoja lawama na sifa zinaenda kwa angle yake.
Ndio hizo kwamba ushamba umelalamikiwa sana na ukaonekana unaturudisha nyuma na sasa kuna ujanja watoto wa mjini.

Kwani Mwendazake nae ana sifa au lawama tu?
 
Wafanyabiashara na Sector binafsi ni Watu Muhimu sana katika Taifa lakini Uhusiano Wa karibu sana Na Authorities hauna afya kwa Taifa kabisa
 
Watu wanaona mbali siyo wana nini...
hata kama itakamilika ila isipokuwa kama ilivyopangwa mwanzo it's already a failure

Watu wanaona mbali siyo wana nini...
hata kama itakamilika ila isipokuwa kama ilivyopangwa mwanzo it's already a failure
Mwanzo ilipangwaje mbona nyie watu mna nongwa na kutaka kutengeneza sintofahamu isiyo na mantiki yoyote. Kwani mwanzo ilikuwaje? Ilikuwa ipite wapi na sasa inaenda wapi? Mwanzo mlikuwa na agenda haitakamilika, maza kakomaa SGR inaenda bila Malaika wenu mnadai haitakuwa kama ile, daah. Hivi mnaelewa kwamba SGR ilikuwa kwenye ilani ya CCM? Meaning JPM yeye ni mtekelezaji tu na wala si maono yake!
 
Zezeta la mwendazake limekariri nchi ili iendelee ni lazima serikali iwe na uhasama na wafanyabishara, yule mpumbavu wenu kaharibu sana nchi na amekufa wapumbavu nyie
 
OP umeandika vitu kwa hisia na ujumla ujumla (too much generalization).

Mimi simkubali mama ila kwa hoja zako naona unamshambulia bila hoja zenye mashiko.
 
Nchi inakufa wakati makusanyo yanaongezeka!. Mngemuacha akafanya kazi kwa namna anayofahamu yeye kuliko kuleta huu ujuaji.
 
Ndio hizo kwamba ushamba umelalamikiwa sana na ukaonekana unaturudisha nyuma na sasa kuna ujanja watoto wa mjini.

Kwani Mwendazake nae ana sifa au lawama tu?

Dhalimu alikuwa anasifiwa mpaka inakuwa kinyaa, labda haukuwepo hapa nchini. Sehemu pekee alikuwa anapewa ukweli wake ni huku mitandaoni, lakini ulikuwa ukisikiliza redio, TV, magazetini nk, ilikuwa kama kapatikana masiha wa nchi hii.
 
Bado mnatesrka na mzimu wa magu. Tuko vizuri. Hakuna tatizo bali unajaribu kulitengeneza akilini mwako. Mtateseka sana wapenzi wa mwendazake. Fuateni ushauri wa zitto
 
Sijasoma bill lkn najua benki ya kilimo ni government owned na bila shaka benki ya ushirika itakuwa ya ushirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…