Nilichouliza hakihusiani na vita ya nje!Kawapatanishe Ukraine na Urusi, bei zitapoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilichouliza hakihusiani na vita ya nje!Kawapatanishe Ukraine na Urusi, bei zitapoa.
hajawahi kutatua shida yoyote ni anajua tu kuongea lakini si mtendajiNionavyo ni Wa-TZ kuhadaika kiurahisi na kelele za Bungeni. Yaani Bashe anasimulia mambo utadhani ana niya njema. Anajidai kusimulia shida za mkulima ambazo zinafahamika miaka yote na bado anasifiwa. Nyuma yake ana lake jambo. Nimeona aliamua kusimulia mambo ya bei ya mbolea lakini hasemi kwa nini analeta benki ya ushirika wakati benki ya wakulima ipo. ni mpotopshaji tu!
Ilikuwa kosa kubwa sana kumpa huyu Mama na Kikwete nchi, wanaturudisha nyuma mno kimaendeleo.
Hakuna raisi anayechukia wafanyahiashara.
Tatizo ni pale tu wanapotaka kudekezwa bila kulipa kodi hapo watamchukia raisi na serikali yake! "Mwambie alipe kodi atakuchukia hatari"
Kodi zitumiwe kuwasha AC za ma V8 waziri akiwa mkutanoni?Hakuna raisi anayechukia wafanyahiashara.
Tatizo ni pale tu wanapotaka kudekezwa bila kulipa kodi hapo watamchukia raisi na serikali yake! "Mwambie alipe kodi atakuchukia hatari"
The home of great thinkers! soma tena nilichoandika yaani hujaelewa kabisa!! Unatumia nguvu kulazimisha hoja yako. wasomi halisi hujenga hoja na kuziacha hoja zipingane. nina uhakika umeishi hapa nyumbani miaka yako yote! you need to study "theory of science" and "multidimensions philosophy"Pengine uliishi Bronx, New York kwa mahohehahe wasiojua kitu.
Rais Obama ALIWAKOPESHA the big private car manufacturers alipoingia madarakani ili kuongeza ajira, biashara na kupunguza mdororo wa uchumi Marekani.
Juzi Biden ametumia sheria kikatiba kulazimisha private baby milk manufacturers kutengeneza maziwa ya watoto baada ya soko kuishiwa maziwa.
Wakati wa vita kuu ya pili sekta binafsi iliibeba Marekani kwa kuingia katika utengenezaji usio wa kawaida wa vifaa vyote vya kijeshi, iwe vifaru, ndege, malori, combat za jeshi, mabuti, silaha ainazote, mabomu na hata meli na merikebu za kijeshi.
Huko ndio kuona mbali, sekta binafsi inaibeba nchi na uchumi wake.
Sasa ninyi mbumbumbu mnafikiri mfanyabiashara na wenye viwanda wakifa shauri zao, ninyi ni maafisa wa serikali kutuma tu Task Force kukusanya kodi wakati nyie mnakula kiyoyozi!
Strategic na economical thinking hakuna, zero kabisa.
Mna mawazo ya ujima kutoka vijijini mwenu.
Hawa watu ni wapuuzi sana, wote unaoona wanalalamika ni wale waliokuwa wamepewa kazi ya kwenda kukwapua hela za wafanyabiashara na kujichukulia percent zao,Baba yenu alijidekeza kufanya kila kitu mwenyewe, kafa na hakuna aichokikamilisha.
Biashara na ajira nyingi zilikufa, wafanyabiashara waliporwa mchana kweupe na serikali(Task Force za TRA).
Nyie manundu mlifurahia ama hamna akili nzuri, sasa tuna mtu mweye akili Chamwino.
Mnafikiri maisha ni lelemama kwa kutaka kutukuzwa "unyonge", na ninyi kutaka kupewa vya bure.
Wafanyabiashara ndio wanaolipa kodi na kipatia serikali pesa za kulipa wafanyakazi !Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.
Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.
Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!
Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.
Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Umetumia haki yako kikatibaNi vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.
Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.
Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!
Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.
Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Pamoja na kuishi ghetto huko majuu, you have not made your point!The home of great thinkers! soma tena nilichoandika yaani hujaelewa kabisa!! Unatumia nguvu kulazimisha hoja yako. wasomi halisi hujenga hoja na kuziacha hoja zipingane. nina uhakika umeishi hapa nyumbani miaka yako yote! you need to study "theory of science" and "multidimensions philosophy"
in short si kila unachowaza au kujua wewe as individual ni sahihi, other people have other knowledge and experiences that you will never have
My knowledge comes from living studying and working in very rich European country for ten years ! sio nyie mnaokwenda Ulaya kwenye seminars za wiki moja mnalala hotelini huwezi kuelewa chochote! sie tumeishi nyumba za kupanga uzunguni ten years!
Samia anawajua vizuri sana nyie tumbili na Wala hajali upuuzi wenu,She is focused kujenga Nchi..Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.
Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.
Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!
Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.
Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Labda hizo hadithi za kijinga akawahubirie mburula wenzie ila kwa watu makini hakuna atakayemsikiliza na tutampuuza na kusonga mbele..Mawazo mgando kama haya hakika yanazidi kuididimiza nchi yetu.
Duplication ya Taasisi haikubaliki na lipingwe vikali ..Je Bashe anajua kuwa huko nyuma tuliwahi kuwa na benki ya ushirika hapa nchini? Hatima yake ilikuwa nini?
Kabla ya kuridhia kuanzisha hiyo benki Ijulikane tu kuwa benki ya wakulima inaweza kuwahudumia wana ushirika kwani ni hao hao wakulima!
Bashe asome historia ya benki ya ushirika nchini kabla ya kuleta duplication ya institutions just to achieve personal gain , that will be misallocation of resources.
Malalamiko ya Sasa ni ya mda mfupi ,kwa sababu uchumi ulioharibiwa miaka 6 haujengwi kwa mwaka mmjaSijazingumzia udhaifu ila nimezungumzia ujanja na ushamba, Mwendazake alikuwa mshamba watu wakalalamika ila kaja mjanja tena kazungukwa na watoto wa mjini ila bado watu wanalalamika.
Bora Ma olirgachi Wana faida kuliko maskini kama wewe..Maoligarchies walianza kutengenezwa awamu ya nne, mwendazake akawanyamazisha na sasa wanatengenezwa upya kupitia uwekezaji kwenye miradi ya serikali, what a classical economy growth is this?!
Haya yetu macho kwa ushauri anaopewa mama.
Tena maskini kama huyu mtoa mada wasipewe nafasi na ikibidi watokomezwe kabisa..Umaskini ni laana. Unachukia matajiri na unasahau kuwa wao ndiyo waajiri wakubwa wa wafanyakazi kuliko Serikali.
Magufuli kwa upumbavu wake alimfilisi Yusuf Manji na akasahau kuwa Manji anaajiri watu 3,000 wanaopata mishahara moja kwa moja kupitia makampuni yake ya Quality Group na wengine zaidi ya 300,000 indirectly kupitia ununuzi wa mazao kama korosho, mbaazi na ufuta.
Hawa machinga wanaohangaika kuuza barabarani bidhaa kwa asilimia kubwa ni zao la upumbavu wa Magufuli. Kadri sekta binafsi itakavyoimarika ndivyo ajira zitatengenezwa. Rais SSH yuko vizuri kiuchumi
Kwahiyo mnapokezana kulalamika akitoka huyu mama na kuingia sukuma gang nanyi mtaanza kulalamika?Wanaolalamika ni watoto wa magufuli