Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

Nakumbuka hata Obama alivyotembelea bongo aliambatana na ujumbe wa wafanya biashara lukuki....Nchi zinaendeshwa na fedha, kama usipokuwa jirani na wafanyabiashara au kuwatengenezea mazingira wezeshi watafanyaje hizo biashara na kulipa kodi au mirabaha???Wafanya biashara sio maadui kwa serikali kama wengine walivyojaribu kuwaaminisha watanzania. Lets think positive sio kila muda kuwaza negatively.

Wataje hao wafanyabiashara waliokuja na Obama Hata wawili tu sio kila kitu mpaka tuige nchi nyingine imefanya hiv na sisi tufanye
 
Umeandika mengi kama hisia zako au chuki binafsi kwa private sector hujaonyesha hatari iliopo wakishirkiana na sector binfsi.....kwa information yako serikali yoyote ya maana haiwezi kufanikiwa bila private sector
ni kweli lakini si kwa wafanyabiashara kudekezwa na kutegemea soko moja tu kuwa mteja wao ni serikali na ndio maana kampuni nyingi za kitanzania hazihitaji idara ya masoko kwa kuwa wanauhakika wa biashara toka serikalini
 
Labda hizo hadithi za kijinga akawahubirie mburula wenzie ila kwa watu makini hakuna atakayemsikiliza na tutampuuza na kusonga mbele..

Rais anajua anaongoza kundi la watu wajinga na wapuuzi kwa hiyo huwa hana mda nao.
Hili kundi la wajinga na wapuuzi lipo miaka yote au limeibuka kipindi hiki cha Samia?
 
Malalamiko gani hayo ambayo unasema ni ya muda mfupi?
Kwa mfano kupanda Kwa gharama za maisha kwani kumeletwa na Serikali? Kwa mfano Makamba anasema kwa sasa uwekezaji Umeongezeka na hivyo mitambo yetu imezidiwa,hili halikutokea awamu ile kwa sababu uchumi ulianguka na hawakufanya uwekezaji wa mda mfupi kwenye umeme kukabiliana na ongezeko la mahitaji wakakimbilia kujenga Bwawa ambalo halina deadline ya kumalizika na Wala halina gharama halisi inayojulikana..

Pili Kwa sasa mafuta yako juu lakini Serikali iliyopita haikuwa kuweka mechanism za kujiandaa na Hali mbaya kama ya Sasa kwa kuanzisha stabilisation fund wala kujenga storage kubwa za mafuta.

Kwenye mafuta ya kula ndio kabisaa walipuuza kilimo miaka yao yote matokeo yake madhara yanaonekana sasa hivi,inamaana.Serikali ya Sasa ndio inaanza kukabiliana na hizi changamoto ambazo zilitakiwa zifanyiwe Kazi hapo awali..

Ndio maana nasema haya yatakuwa maumivu ya mda mfupi yaliyoletwa na Serikali ya awamu ya 5 ya wapumbavu na Sasa awamu ya 6 inachukua hatua .👇

Screenshot_20220520-094607.png

Screenshot_20220520-094242.png

Screenshot_20220520-083255.png

Screenshot_20220520-083032.png
 
Hili kundi la wajinga na wapuuzi lipo miaka yote au limeibuka kipindi hiki cha Samia?
Lipo miaka yote ile ukiwa kwenye comfort zone huwezi kuliona..

Kipindi cha serikali ya wajinga ya awamu ya 5 haikuwahi kukumbana na changamoto za Uchumi wa Dunia kama zilizo sasa kwa hiyo wajinga mkawa mnalishana propaganda na matumaini mfu.
 
HAwezi kujua hilo, anakula kwa kulamba makalio ndio maana awamu ikibadilika hutamuona.
Mwambie huyo tumbili kwamba kama wanadekezwa kwa nini Rais juzi Tabora aliziagiza mamlaka kuhakikisha zinakusanya Kodi?

Kama kweli wanadekezwa na hawalipi Serikali inatoa wapi mabilioni iliyoongeza kwenye bajeti za kila Wizara? Mbona haya hatukuyaona kipindi cha wazalendo feki? Pesa walikuwa wanapeleka wapi ikiwa kila sehemu kulijaa madeni?

Pili kama kweli wanadekezwa inakuaje TRA na Halmashauri wanavuka na lengo la makusanyo?👇

Screenshot_20220406-163449.png
 
Kwa mfano kupanda Kwa gharama za maisha kwani kumeletwa na Serikali? Kwa mfano Makamba anasema kwa sasa uwekezaji Umeongezeka na hivyo mitambo yetu imezidiwa,hili halikutokea awamu ile kwa sababu uchumi ulianguka na hawakufanya uwekezaji wa mda mfupi kwenye umeme kukabiliana na ongezeko la mahitaji wakakimbilia kujenga Bwawa ambalo halina deadline ya kumalizika na Wala halina gharama halisi inayojulikana..

Pili Kwa sasa mafuta yako juu lakini Serikali iliyopita haikuwa kuweka mechanism za kujiandaa na Hali mbaya kama ya Sasa kwa kuanzisha stabilisation fund wala kujenga storage kubwa za mafuta.

Kwenye mafuta ya kula ndio kabisaa walipuuza kilimo miaka yao yote matokeo yake madhara yanaonekana sasa hivi,inamaana.Serikali ya Sasa ndio inaanza kukabiliana na hizi changamoto ambazo zilitakiwa zifanyiwe Kazi hapo awali..

Ndio maana nasema haya yatakuwa maumivu ya mda mfupi yaliyoletwa na Serikali ya awamu ya 5 ya wapumbavu na Sasa awamu ya 6 inachukua hatua .
Mkuu lakini kwenye malalamiko ya awamu hii ni zaidi ya hayo unayoita ni ya muda mfupi kama hayo ya umeme ambayo mpaka sasa yanatolewa utetezi tofauti tofauti, kuna matatizo mengine yamerudishwa tena katika hii awamu mambo ambayo tulikuwa tunaanza kuyasahau.
 
Yapi? Umeme una majibu Yale Yale ,hamkufanya uwekezaji kwenye mitambo mka enjoy low demand kwa hiyo hakuna kuzidiwa kwa miundombinu..

Mwaka mmja tuu zaidi ya dola bil.8 zimewekwa kwenye uchumi zinahaitaji umeme wa uhakika na miundombinu ya uhakika ambayo hamkufanya nyie wajinga wa awamu ya 5..

Malalamiko mengine ni yapi?
 
Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.

Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.

Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!

Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.

Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Nimekuelewa sana ukiikabizi nchi kwa wafanya biasha umekwisha tutegemee kurudi Yale
.
IPTL serikali ilikuwa inalipa mamilioni ya shingi kwa siku alafu eti wakasema hu mkataba hauwezi kuvunjika lakini Magufuli aliuvunja

Nguzo za umeme
Tenda walipewa wafanya biasha Tanesco wakawa wanalipa mamilioni ya pesa na bado nguzo zenyewe walikuwa hawaleti Magufuli akasema hataki kusikia huo upuzi wa mikataba ya kijinga akaivunja

Bandali kavu
Magali na mizigo ilikuwa inacheleweshwa makusudi kutolewa bandali ili ipelekwe ktk bandali kavu za wafanya biashara
Magufuli akasema sitaki kusikia huu upuzi maana documents za magali huwa zinafika kabla ya Meli kufika shughulikieni documents ili meli ikifika tu wenyewe wachukue magali
Sasa hivi bandali kavu wanalala panya na paka

Vilungu vya polisi
Kuna watu walipewa tenda ya kuleta vilungu vya polisi na kulipwa mamilioni ya pesa

In shot wafanya biashara hawafai kabisa kuwakaribisha serikalini kwa kuwa sasa wanarudi basi yajayo yanafurahisha

R.I.P jembe langu Magu
 
Lipo miaka yote ile ukiwa kwenye comfort zone huwezi kuliona..

Kipindi cha serikali ya wajinga ya awamu ya 5 haikuwahi kukumbana na changamoto za Uchumi wa Dunia kama zilizo sasa kwa hiyo wajinga mkawa mnalishana propaganda na matumaini mfu.
Nachokijua ni kwamba kwenye kila utawala/awamu malalamiko lazima yawepo sasa kinachotokea sasa hivi wanaolalamika wanaitwa sukuma gang na ndio wewe unawaita wajinga na wapuuzi.
 
Nachokijua ni kwamba kwenye kila utawala/awamu malalamiko lazima yawepo sasa kinachotokea sasa hivi wanaolalamika wanaitwa sukuma gang na ndio wewe unawaita wajinga na wapuuzi.
Hilo lipo ila sasa Sukuma gang wanatake advantage hiyo kwa kupotosha ukweli ionekane ni uzembe wa Serikali hii au hizo shida zimeletwa na Serikalini hii ndio maana unaona mpina anapotosha Bungeni kwamba mbolea zilipanda kwa sababu serikali iliondoa bulk procurement kwenye mbolea..

Anasahau kwamba kwenye mafuta kuna bulk procurement sijui bei zimeshuka au? Ameambiwa bei zimepanda toka Uchumi wa Dunia ulivyofunguka ,balaa likaja kuongezewa na vita ila anapotosha ukweli..

Ameambiwa akapewe tenda ya kutuletea tan 400,000 za mbolea ya Bei nafuu kaufyata..

Kama tuu Makamba JR alivyowaambia ambae anajua mafuta yanakopatikana Kwa bei rahisi aende ofisini apewe kibali alete wameufyata..Watu wa hivi Mwendazake alikuwa anawapiteza sema wamekuta Samia Muungwana.
 
Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.

Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.

Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!

Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.

Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Wacha tuendelee kula mtori, labda nyama zipo chini.
 
Yapi? Umeme una majibu Yale Yale ,hamkufanya uwekezaji kwenye mitambo mka enjoy low demand kwa hiyo hakuna kuzidiwa kwa miundombinu..

Mwaka mmja tuu zaidi ya dola bil.8 zimewekwa kwenye uchumi zinahaitaji umeme wa uhakika na miundombinu ya uhakika ambayo hamkufanya nyie wajinga wa awamu ya 5..

Malalamiko mengine ni yapi?
High demand gani imejitokeza kwa mwaka mmoja? Unamwamini ngwini Makamba ambaye kila kitu anasoma kwenye internet? That is fallacy! Higher consumers huwa ni viwanda. Hatuna viwanda vya chuma, tuna factories za plastics. Nini kimeongeza matumizi ya umeme kwa mwaka mmoja huu wa Samia? Ni udanganyifu tu na baadhi yenu kila kinachosemwa na waziri, na hasa kama kuna namba, ni sahihi hata kama munamzidi elimu.
 
Katiba Ni mbovu nyie mkiambiwa hamtaki kutoa ushirikiano
 
Na wewe weka,Bora wawekwe hao wanaleta tija kuliko zile takataka zilizofanya uharibifu za huko Chato/Usukumani.
Wanaleta tija kwa kuihujumu nchi?
Mnaiuza nchi kwa wakina Rostam kwa kupangiwa chumba hotel ya Ritz Carlton New York na kupewa vijidollar vya kufanya shopping?
Mzalendo wa kweli hawezi kushiriki vitendo vya kifisadi vinavyoendelea!
 
Mtazamo wa samia ni kuwapromote fisadi kama eti ni wawekezaji binafsi. Watanzania tuwe tayari kumpinga samia kwani ni agent wa wafanyabiashara fisadi. Muwekezaji anawekeza miradi yake sio kudandia miradi ya umma mikubwa kama sgr na bwawa la nyerere afaidike bure kwa uwekezaji wa umma huku riski inabebwa na serikali. Lazima tusimame imara kuwatimua wezi wa umma.

Mbona unalalamika Na Polisi ipo, Takukuru ipo Na mahakama ipo? Kama umeliona fisadi Na ushahidi unao , kalishitaki Tu kwenye vyombo husika , usiharishe JF
 
Wanaleta tija kwa kuihujumu nchi?
Mnaiuza nchi kwa wakina Rostam kwa kupangiwa chumba hotel ya Ritz Carlton New York na kupewa vijidollar vya kufanya shopping?
Mzalendo wa kweli hawezi kushiriki vitendo vya kifisadi vinavyoendelea!

Kwanini hampeleki mashitaka yenu kwa vyombo husika?
 
Back
Top Bottom