Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

Umeandika mengi kama husia zako au chuki binafsi kwa private sector hujaonyesha hatari iliopo wakishirkiana na sector binfsi.....kwa information yako serikali yoyote ya maana haiwezi kufanikiwa bila private sector
Wajinga hawa hawajui sekta binafsi ilikufa. Rais aliyepita pia alikuwa mfanya biashara aliyeishi ikulu. Kajikusanyia ukwasi mwingi tu.
 
Matokeo ya "Maendeleo" vita za kitamaduni, utumiaji wa njia za panya za wenye kuhodhi madaraka n.k n.k
Oyeee
 
Humpendi JPM lakini kimoyomoyo unamuwaza namna alivyokuwa na dira ya wapi nchi iende, mama Yako sidhani kama anamuda hata wa kusoma mafaili yeye alikiri Hana kichwa Cha kukalili mambo Wala kuyafuatilia
Jamaa alitudanganya mkadhani kakariri
 
Acha ujinga wa kimagufuli. Msafara wa rais kwenda nje unapaswa kujaa wafanyabiashara, wataalamu na viongozi wachache sana na sio kujaza wanasiasa watupu kama unavyofikiri.
Anasahau hata wakati wa magu alimtuma samia akiwa na delegation
 
Aleza wazi ni kipi hakiendi kwasababu ya kukosa pesa sio unalalama pasipo fact!
Raisi ameendelea na miradi yote lakini pia leo tunaona tunatangaziwa ajira mpya,malimbikizo ya mishahara yalioshindwa kulipwa na yule Mungu wenu wa Chato leo tunaona mama anawalipa wafanyakazi.

Wachunga ng'ombe bado mna chuki na serikali ya sasa kwasababu eti mnaamini mchunga ng'ombe hakufa kifo cha kawaida,
Hivi auwawe yule ili iwaje kwamfano?
 
Bado wauza unga nao wanavyokuja juu! Kazi tunayo [emoji20]
Sasa hivi wameenda kuwamaliza vijana wa minada ya ng'ombe huko maeneo ya ufugaji. Wanawavizia vijana wanofanya Biashara ya ng'ombe na kuwalisha madawa kisha wanawaibia. Wanavuruga utamaduni wa usukumani na maeneo megine ya ufugaji na ukulima wa kuaminiana na undugu. Sasa hivi wasukuma na wafugaji ama wakulima wengine wanaanza kuogopana...hawashiriki Tena chakula Pamoja kwa amani hapo minadani kama awali. !!

Hii ni hatari! Mifano ipo, minada ya huko Singida, Manyoni, Itigi na kwingineko Hali ni yahatari.
Watanzania wa maeneo hayo wanalishwa madawa ya kulevya bila kujua na wezi !!
=====
Nikirudi kwenye mada.
rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji.
Mleta Mada, naomba udhibitisho wa maelezo yako niliyonukuu. Ni magari gani, yanafanya ruti za wapi yamesajiliwa kwa namba zipi? Hizi habari za tuhuma nzito hivi bila ushahidi, zinatufanya baadhi "yetu" tuonekani ni wapika majungu. Siamini kama nawe ni mpika majungu mzuri tu, hivyo leta ushahidi!
 
Utakuwa bwege basi! Tunajadili hali ya TZ wewe unaleta mifano ya nchi unazoita kubwa. Hapa TZ unao mfano wowote wa mafanikio uliotokana na wafanyabiashara binafsi kushirikiana na serikali? Hawa akina Rostam ndo unasema ni wafanyabiashara? Hawa akina Kikwete na GSM yao ndo wafanyabiashara? Hawa ni wezi tu! Hwana lolote. Faida wanaitegemea itokane na wizi, basi!
Kama una ushahidi ni wezi nenda mahakamani usipate hasira na umaskini wako sio kosa lao. weka ushahidi hawa ni wezi na wamekuibia nini wewe wakati huna chochote cha kuibiwa na hata na Panya road. Tatizo nyinyi mnadhani hizo family wameanza kushika pesa jana soma history zao baba zao wamekuwa kwenye biashara toka miaka 1950 huko watoto wamezikuza biashara kwa fursa leo wako hapo usifikiri wameamka wamekuwa matajiri, huyo Bakhresa kauza Ice cream na mikate enzi za ujamaa huko amekuwa na fursa wewe unadhani waliingia bank wamechota. Tofauti ya wao na sisi wao wameendeleza kazi za wazazi wao sisi hata nyumba za babu Kariakoo tumepigana mapanga kugaombania urithi na kuuza kukimbilia mbagala huko halafu unataka kumlaumu nani? Rostam, Bakhresa huyo Kikwete mtoe hapo hana utajiri wowote yuko vizuri hata Mkapa ana majumba hapo mjini mbona humtaji. acha wivu wa kijinga kutuletea mawazo ya kijamaa hapa. Wacha Bakhresa, Rostam, Metl na kina ASAS na hao wengine wafunge biashara zao wakimbilia Kenya tu hapo ndio utajuwa maji sio maaa. Badala ya kufikiria nitafikaje na mimi huko juu wewe uko busy watashuka lini hawa waizi weka hapa wamekuibia nini na wewe nenda kaibe tuone utafika wapi. Huko wafanyakazi wa serikali ndio waizi na tajiri kama anaiba basi anaiba na wewe mfanyakazi. tokomeza umaskini na ujinga.
 
Utakuwa bwege basi! Tunajadili hali ya TZ wewe unaleta mifano ya nchi unazoita kubwa. Hapa TZ unao mfano wowote wa mafanikio uliotokana na wafanyabiashara binafsi kushirikiana na serikali? Hawa akina Rostam ndo unasema ni wafanyabiashara? Hawa akina Kikwete na GSM yao ndo wafanyabiashara? Hawa ni wezi tu! Hwana lolote. Faida wanaitegemea itokane na wizi, basi!
Kwa hiyo unajuwa Rostam utajiri wake? mtu ana share kwenye makampuni ya simu unasema mwizi kakuibia nini? Bakhresa huko kajenga Bagamoyo sugar moja ya miradi ya kisasa mikubwa kakuibia nini? GSM yuko kwenye real estate kafungua biashara kibao unasema kakuibia kakuibia nini? utakufa kwa wivu piga kazi acha uhasidi utakufa siku sio zako. JPM mwenyewe alijuwa ukubwa wakina Bakhresa alikuwa aondoke akambakiza na kumpa Bagamoyo sugar awekeze anajuwa siku wakitoka hao hizo kodi atakusanya kutoka wapi? mshahara wako utatoka wapi. Huwa nachukia sana watu wenye wivu wa mafanikio ya watu. eti usijifananishe na watu wa nje sasa unataka nifananishe na nani? malawi au Zimbwabwe. Dunia ni kijiji na watu wana copy kwa wenye mafanikio. Sasa wewe nitajie nchi moja duniani imefanikiwa bila ya kuwa na wafanyabiashara? anza hapa hapa Kenya sasa endelea.....
 
Utakuwa bwege basi! Tunajadili hali ya TZ wewe unaleta mifano ya nchi unazoita kubwa. Hapa TZ unao mfano wowote wa mafanikio uliotokana na wafanyabiashara binafsi kushirikiana na serikali? Hawa akina Rostam ndo unasema ni wafanyabiashara? Hawa akina Kikwete na GSM yao ndo wafanyabiashara? Hawa ni wezi tu! Hwana lolote. Faida wanaitegemea itokane na wizi, basi!
The Aziz's (clan sagari) are a third generation Tanzanian family of Iranian baloch. reason the members of this family decided to be called aziz instead of sagari is because apparently they chose to be known by their father's name AZIZ SAGARI ( aziz abdul rasool) and paternal grandfather abdul rasool sagari ( abdul rasool chakar ) [7] They settled in Tanganika after transiting in Zanzibar, circa 1850. This family initially began farming sisal, rice and sugar cane and then expanded their business further over time.


Overview​

The Aziz family is one of the wealthiest families in East Africa. Their investments range from telecommunications, agriculture, media, mining, and ports facilities.

The Aziz Group holdings include:

  • Shareholding in Vodacom Tanzania, the leading mobile telephone network in the country, a subsidiary of Vodafone.[8]
  • Caspian Limited, the largest contract mining company in Tanzania. Mining contractor to DeBeers, Barrick Gold and others.[9]
  • Ownership of the port of Dar es Salaam, in partnership with Hutchison Wampoa
  • Wembere Hunting Safaris Limited
  • Africa Tanneries Limited
  • Tanzania Leather Industries Limited
  • Various newspapers, radio and television stations
Usifikiri watu wameibuka tu Rostam ni generation ya 3 wamenza biashara toka huko hujaachiwa urithi nyumba na babu watu wanafanya biashara acheni wivu. GSM juzi kwenye mazishi ya baba yao ndio mwenye biashara kaanza 50's huko watoto wamebeba tu misingi ilijengwa japo midogo. Mo Dewji wamechukuwa family business wameziweka kisasa. Sasa taja mwizi hapo.
 
Maoligarchies walianza kutengenezwa awamu ya nne, mwendazake akawanyamazisha na sasa wanatengenezwa upya kupitia uwekezaji kwenye miradi ya serikali, what a classical economy growth is this?!
Haya yetu macho kwa ushauri anaopewa mama.
Umaskini ni laana. Unachukia matajiri na unasahau kuwa wao ndiyo waajiri wakubwa wa wafanyakazi kuliko Serikali.

Magufuli kwa upumbavu wake alimfilisi Yusuf Manji na akasahau kuwa Manji anaajiri watu 3,000 wanaopata mishahara moja kwa moja kupitia makampuni yake ya Quality Group na wengine zaidi ya 300,000 indirectly kupitia ununuzi wa mazao kama korosho, mbaazi na ufuta.

Hawa machinga wanaohangaika kuuza barabarani bidhaa kwa asilimia kubwa ni zao la upumbavu wa Magufuli. Kadri sekta binafsi itakavyoimarika ndivyo ajira zitatengenezwa. Rais SSH yuko vizuri kiuchumi
 
Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.

Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.

Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!

Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.

Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Kumbuka hajachaguliwa na mtu alichaguliwa na katiba
 
naomba kutoa ushuhuda. mimi nimeishi na watu waliondelea. huko uzunguni hakuna ushirika wa serikali na wafanyabiashara katika kujenga miundombinu ya nchi bali reli ikishajengwa ni 100% mali ya serikali na uzalishaji umeme ni 100% mali ya serikali. ushirika ni kwenye kodi tu mfanyabiashara anaelipa kodi kubwa anafikiriwa punguzo. hiyo model ya serikali eti wafanyabiashara walete mabehewa kwangu mimi ni traditional au classical sio modern theory of economic development na tutafeli. Tuwalaumu sana wanaomshauri Mama. Anaejua kitabu kilichoandika huo ushirika wa kuanzia kujenga miundombinu ya nchi kwa ushirika wa serikali na wafanyabiashara atutajie tukisome
Pengine uliishi Bronx, New York kwa mahohehahe wasiojua kitu.
Rais Obama ALIWAKOPESHA the big private car manufacturers alipoingia madarakani ili kuongeza ajira, biashara na kupunguza mdororo wa uchumi Marekani.

Juzi Biden ametumia sheria kikatiba kulazimisha private baby milk manufacturers kutengeneza maziwa ya watoto baada ya soko kuishiwa maziwa.

Wakati wa vita kuu ya pili sekta binafsi iliibeba Marekani kwa kuingia katika utengenezaji usio wa kawaida wa vifaa vyote vya kijeshi, iwe vifaru, ndege, malori, combat za jeshi, mabuti, silaha ainazote, mabomu na hata meli na merikebu za kijeshi.

Huko ndio kuona mbali, sekta binafsi inaibeba nchi na uchumi wake.

Sasa ninyi mbumbumbu mnafikiri mfanyabiashara na wenye viwanda wakifa shauri zao, ninyi ni maafisa wa serikali kutuma tu Task Force kukusanya kodi wakati nyie mnakula kiyoyozi!
Strategic na economical thinking hakuna, zero kabisa.

Mna mawazo ya ujima kutoka vijijini mwenu.
 
Hii mada imeletwa na mtu mwenye akili ndogo
Tanzania sio nchi ya Ujamaa kwamba serikali itafanya miradi, biashara na kutoa huduma yenyewe.
Sio kwamba tu haina uwezo huo bali pia ni hatari kwa ukuaji wa uchumi na maendeleo kwa ujumla.

Mfano wa karibuni ni pale mkuu wa malaika aliyekuwa anajiona genius wa kila kitu alivyoiangamiza Fast jet ili shirika la serikali lipumue. Ushindani umepotea, nauli zikapanda maradufu na ubora wa huduma ukawa hafifu

Anachokifanya Samia sio katoa kichwani mwake, ni sera ya serikali ipo siku nyingi.
Public and Private Partnership(PPP)
hamkuwahi kumsikia jiwe anatafuta muwekezaji apanue kipande cha Morogoro Road mpaka chalinze?
Hamuoni daraja la kigamboni?
Hamuoni ubia kwenye sekta ya afya?
 
Pengine uliishi Bronx kwa mahohehahe wasiojua kitu.
Rais Obama ALIWAKOPESHA the big private car manufacturers alipoingia madarakani ili kuongeza ajira, biashara na kupunguza mdororo wa uchumi Marekani.

Juzi Biden ametumia sheria kikatiba kulazimisha private baby milk manufacturers kutengeneza maziwa ya watoto baada ya soko kuishiwa maziwa.

Wakati wa vita kuu ya pili sekta binafsi iliibeba Marekani kwa kuingia katika utengenezaji usio wa kawaida wa vifaa vyote vya kijeshi, iwe vifaru, ndege, malori, combat za jeshi, mabuti, silaha ainazote, mabomu na hata meli na merikebu za kijeshi.

Huko ndio kuona mbali, sekta binafsi inaibeba nchi na uchumi wake.

Sasa ninyi mbumbumbu mnafikiri mfanyabiashara na wenye viwanda wakifa shauri zao, ninyi ni maafisa wa serikali kutuma tu Task Force kukusanya kodi wakati nyie mnakula kiyoyozi!
Strteguc na economical thinking hakuna kabisa.

Mna mawazo ya ujima kutoka vijijini mwenu.
Hawawezi kukuelewa mkuu
Yani hawa ni masikini wanaomchukia tajiri wakitegemea kwa kufanya hivyo watatajirika
 
Back
Top Bottom