Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

Sipingi kuwa anamkono kwenye biashara ya usafiri, je, awamu ya nne, tano haya ukuyaona? Kama yalikiwepo uliyakemea? Kama ukukemea na yalikuwepo binafsi nasikia yalikuwepo, uoni unahusuda na awamu ya sita, ingawa ni mambo yasiyo pendeza ila ila hatuwezi kuzuia, nashauri mwache aendelee na biashara zake!
 
Wewe na wapuuzi wenzako sio wakosoaji bali wapotoshaji..

Mama is clear Kwamba ni ruksa kukosoa utawala wake ila sio kupotosha,kufitinisha,kufanya uzushi na matusi kama wewe na fool wenzako..

Mtu anaekosoa Huwa anaonyesha makosa na kuleta njia mbadala ambapo nyie Sukuma gang walinda ligacy mnafanya upotoshaji tuu..Mama angekuwa anaogopa maneno yenu ya kuudhi asingewazuia waandishi wa habari,NGOs,mitandao nk lakini ndio kwanza ni rafiki wao as opposed to Jiwe administration a k a chuma urojo.

Aliyekwambia mimi kuukubali Utawala wa awamu ya 6 ndio nakubali kila kitu nani? Tafuta threads zangu utaona nazopinga na nazokubali..

Ukweli mchungu ni kwamba Awamu ya 6 ya mama inafanya vizuri sana kuliko awamu ya 5 almost kweli kila nyanja.
 
Tumepigwa hapa sema hakuna namna
 
Hakuna jipya hao wapotoshaji hawajaanza kipindi cha Samia toka Kikwete Magufuli na hata sasa, ni wewe tu ndio unawaona sasa kwa sababu unashabikia huu utawala ndio unawaona wanachafua huu utawala.

Na wapinzani wa bongo ni wa kuchafua utawala uliyopo hata kwa kupotosha na si kukosoa, hivi vitu vipo toka zamani tushavisema ila wewe ndio unaona leo kuwa ndio kuna wapotoshaji.
 
Ukweli anapewa maana hajajiingiza kwenye siasa za kikatili bado.
Nani anaweza kumwambia ukweli sasa hivi kwenye tv na radio? Hakuna zaidi ya kukosoa huku mitandaoni tu na ndio maana hata katiba mpya anaona ni kelele za mitandaoni tu.
 
Huu ndio ukweli
 
Oligarchs ndiyo waliojenga uchumi wa Urusi baada ya wakomunisti kuifilisi nchi na Soviet Union kusambaratika. Tofauti, Urusi wanajua kuwatumia oligarchs wao kuleta maendeleo ya uchumi wao, wabongo mnawapiga vita. Ndiyo maana uchumi wetu unakwama.
Sasa Urusi inauchumi gani
 
Wakati Putin ndio aliwatengeneza hao majambazi
 
Wapi Sheria ziliposema kiuongozi asifanye biashara? Sio tuu usafirishaji Hadi Kwenye Vyombo vya habari anamiliki ..

Mwisho kuna yule Maskini Rais wa Wanyonge alikuwa anatumia pesa za umma kujenga Hotel yake kwao na kusombelea wanyama wetu.
 
Magufuli aliharibu hakuna alipofanikiwa..

Weka hapa alichofanikiwa Ili tulinganishe
 
The same kwa Samia ,amechukua Nchi hakuna hata pesa huko Hazina kidogo iwe kama Sri Lanka..

Bila ule mkopo wa uviko 19 mungeisoma namba kama Zimbabwe.
 
Wapi Sheria ziliposema kiuongozi asifanye biashara? Sio tuu usafirishaji Hadi Kwenye Vyombo vya habari anamiliki ..

Mwisho kuna yule Maskini Rais wa Wanyonge alikuwa anatumia pesa za umma kujenga Hotel yake kwao na kusombelea wanyama wetu.
Shida si kufanya biashara, tatizo biashara zako ni halali? Biashara zako hazikwepi kodi? Malori uliyoingiza yote yamelipa kodi stahiki? Je, utumii nafasi yako kujipendelea kupata kazi?
Viongozi waandamizi kufanya biashara mara nyingi uuwa biashara za washindani wake kwa kuwapa pingamizi mbalimbali kama kodi zaidi, kupata kazi bila kufuata taratibu, hivyo wengine wanashindwa kushindana kihalali!
 
Tatizo, baadhi yenu nafikri evolution haikukamilika. Bado mna tabia za wanyama. Mnaamini katika maguvu kuliko akili.

Mtu mstaarabu ni lazima awaone anaowaongoza nao ni binadamu kama yeye. Kiongozi ameewa ru dhamana kwa muda fulani wa kuwaongoza wenzake, lakini haimaanishi yeye ni binadamu kuzidi wengine.

Bahati mbaya, wakati wa awamu ya 5, tuikuwa na viongozi primitive, ambao waliamini kuwa ukiwa kiongozi wewe ni binadamu zaidi kuiko wengine. Ndiyo.maana wakawa wanaua, kuteka na kupoteza watu! Yaani aheri hata nyani ana ustaarabu. Huwezi kusikia nyani anamwua mwanae, lakini sisi tulifikia kuwa na viongozi mashetani wa kiwango hicho.
 

Sio sekta binafsi tu na TISS pia
 
Malori ya Jiwe yalikuwa hayapiti mizani na hata yakipita ni kufanya compliance tuu ,najua nachoongea when it comes to Mayanga Construction..

Naamini kwa sasa wanalipia
 
Unataka wafanyabiashara watishwe na wauawe kama alivyokuwa akifanya Magufuli? Rais Samia anafanya kazi kwa uangalifu na anajua anachokifanya. Rais wetu yupo makini.
 
Na Magufuli aliikutaje nchii iliyokuwa na rais dhaifu?
Ilikuwa vizuri sana,

Uchumi unakua kwa 7.2% ukaanguka hadi 4%,

Serikali inatoa ajira,yeye hakuna alichofanya,

Fedha za kigeni ziko za kutosha,yeye zikashuka,

Mtaani kuna pesa ,yeye akaleta vyuma kukaza,

Kilimo kinastawi hadi ruzuku ya Mbolea,akafuta na kuvuruga kilimo.

Mahusiano ya Kimataifa yako poa akavuruga kabisaa hadi kuzuiliwa pesa,kukamata ndege,kuondolewa kwenye Programu mbalimbali kama MCC nk

Na ushenzi msingi alioufanya ndio maana tumeanza upya chini ya Samia.
 
Sasa kama kila kitu kilikuwa perfect kwanini aliitwa rais dhaifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…