Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Nani sasa hivi anaweza kumpa ukweli Samia kwenye tv au radio?
Ukweli anapewa maana hajajiingiza kwenye siasa za kikatili bado.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani sasa hivi anaweza kumpa ukweli Samia kwenye tv au radio?
Wewe na wapuuzi wenzako sio wakosoaji bali wapotoshaji..Wewe kwa sababu ni shabiki wa huu utawala hivyo una jukumu la kusifia unayoona mazuri kwenye huu utawala na kujaribu kutetea malalamiko, hakuna kipya malalamiko na ukosoaji lazima uwepo iwe ni kutoka sukuma gang au wanaojiita wapinzani.
Wakosoaji hawakuanza kipindi cha Magu bali walikuwepo kabla na hadi sasa wapo, kuna kipindi hadi JK aliwahi kuuliza kwamba "...kwani mazuri hamuyaoni?" Maana toka huko kuna watu walikuwa wanaeleza mabaya tu wao, naona safari hii hao watu huitwa sukuma gang.
Tumepigwa hapa sema hakuna namnaNi vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.
Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.
Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!
Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.
Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Hakuna jipya hao wapotoshaji hawajaanza kipindi cha Samia toka Kikwete Magufuli na hata sasa, ni wewe tu ndio unawaona sasa kwa sababu unashabikia huu utawala ndio unawaona wanachafua huu utawala.Wewe na wapuuzi wenzako sio wakosoaji bali wapotoshaji..
Mama is clear Kwamba ni ruksa kukosoa utawala wake ila sio kupotosha,kufitinisha,kufanya uzushi na matusi kama wewe na fool wenzako..
Mtu anaekosoa Huwa anaonyesha makosa na kuleta njia mbadala ambapo nyie Sukuma gang walinda ligacy mnafanya upotoshaji tuu..Mama angekuwa anaogopa maneno yenu ya kuudhi asingewazuia waandishi wa habari,NGOs,mitandao nk lakini ndio kwanza ni rafiki wao as opposed to Jiwe administration a k a chuma urojo.
Aliyekwambia mimi kuukubali Utawala wa awamu ya 6 ndio nakubali kila kitu nani? Tafuta threads zangu utaona nazopinga na nazokubali..
Ukweli mchungu ni kwamba Awamu ya 6 ya mama inafanya vizuri sana kuliko awamu ya 5 almost kweli kila nyanja.
Nani anaweza kumwambia ukweli sasa hivi kwenye tv na radio? Hakuna zaidi ya kukosoa huku mitandaoni tu na ndio maana hata katiba mpya anaona ni kelele za mitandaoni tu.Ukweli anapewa maana hajajiingiza kwenye siasa za kikatili bado.
Huu ndio ukwelinaomba kutoa ushuhuda. mimi nimeishi na watu waliondelea. huko uzunguni hakuna ushirika wa serikali na wafanyabiashara katika kujenga miundombinu ya nchi bali reli ikishajengwa ni 100% mali ya serikali na uzalishaji umeme ni 100% mali ya serikali. ushirika ni kwenye kodi tu mfanyabiashara anaelipa kodi kubwa anafikiriwa punguzo. hiyo model ya serikali eti wafanyabiashara walete mabehewa kwangu mimi ni traditional au classical sio modern theory of economic development na tutafeli. Tuwalaumu sana wanaomshauri Mama. Anaejua kitabu kilichoandika huo ushirika wa kuanzia kujenga miundombinu ya nchi kwa ushirika wa serikali na wafanyabiashara atutajie tukisome
Sasa Urusi inauchumi ganiOligarchs ndiyo waliojenga uchumi wa Urusi baada ya wakomunisti kuifilisi nchi na Soviet Union kusambaratika. Tofauti, Urusi wanajua kuwatumia oligarchs wao kuleta maendeleo ya uchumi wao, wabongo mnawapiga vita. Ndiyo maana uchumi wetu unakwama.
Wakati Putin ndio aliwatengeneza hao majambaziWalizificha baada ya mwendawazimu Putin kuchukua nchi. Enzi za Yelstin walikuwa wanapeta tuu na ndiyo walioiyokoa Urusi kiuchumi. Putin huwa anawakamua Oligarchs hela zao kimafia ili ajitajirishe yeye binafsi na familia yake na kufanya siasa zake. Utajiri wa Putin aliupata kinyama na hela za kuvamia nchi jirani alizipata kinyama.
Jiulize kwa nini oligarchs wetu wanaficha hela nje? Wanajua kuna wanasiasa mafisi wanataka kuwapora ili wafanye siasa haramu na kutajirisha familia zao.
Wapi Sheria ziliposema kiuongozi asifanye biashara? Sio tuu usafirishaji Hadi Kwenye Vyombo vya habari anamiliki ..Sipingi kuwa anamkono kwenye biashara ya usafiri, je, awamu ya nne, tano haya ukuyaona? Kama yalikiwepo uliyakemea? Kama ukukemea na yalikuwepo binafsi nasikia yalikuwepo, uoni unahusuda na awamu ya sita, ingawa ni mambo yasiyo pendeza ila ila hatuwezi kuzuia, nashauri mwache aendelee na biashara zake!
Magufuli aliharibu hakuna alipofanikiwa..Ndiyo maana mijadala ya nchi hii haina manufaa. Kuna watu wanshabikia mtu kwa sababu ya urafiki wao binafsi bila kujali uharibifu unaoletwa nchini. Yaani hadi leo watu hawajaona uharibifu na mafanikio ya Magufuli. Hadi leo kuna watu hawajaona uharibifu wa Samia maana sioni alichokwisha fanikiwa. Au Royal Tour? Samia hana ufahamu wa kutufikisha kokote kwa sababu hajawahi kuwa exposed mazigira ya kufikilia kwa nguvu. Ni mtu wa taarabu na hina mikononi, basi!
The same kwa Samia ,amechukua Nchi hakuna hata pesa huko Hazina kidogo iwe kama Sri Lanka..Mwinyi alichukuwa Nchi ikiwa ni muflis. Tulikuwa tukipanga foleni mpaka ya sigara .Nguo ndio hamna , viwanda vilikufa toka wakati wa Nyerere. Kiwanda kwa mfano cha kutengeza vioo kilijengwa bila kufanya kazi hata siku moja Na watu walipelekwa kusoma Holland wakarudi hamna kazi.
Ilikuwa ukionekana Na pesa ya kigeni unafungwa. Ukivaa jeans unafuatwa Na usalama wa taifa. Colgate , miswaki ilikuwa ni kipusa. Hata sembe ilikuwa kipusa , tukaletewa mahindi ya njano ya kulishia farasi kutoka marekani. Wakati wa Nyerere hata Tv kuwa nayo ilikuwa ni luxury tena labda uitoe kutoka Zanzibar. Nchi ilipelekwa kuzimu Na Nyerere. Mwinyi akaja kuihuisha.
Shida si kufanya biashara, tatizo biashara zako ni halali? Biashara zako hazikwepi kodi? Malori uliyoingiza yote yamelipa kodi stahiki? Je, utumii nafasi yako kujipendelea kupata kazi?Wapi Sheria ziliposema kiuongozi asifanye biashara? Sio tuu usafirishaji Hadi Kwenye Vyombo vya habari anamiliki ..
Mwisho kuna yule Maskini Rais wa Wanyonge alikuwa anatumia pesa za umma kujenga Hotel yake kwao na kusombelea wanyama wetu.
Tatizo, baadhi yenu nafikri evolution haikukamilika. Bado mna tabia za wanyama. Mnaamini katika maguvu kuliko akili.Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani!
Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya TANESCO.
Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena.
Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.
Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali!
SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!
Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.
Ndio maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali.
Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Katika Afrika Tanzania ndo nchi inayotolewa mfano wa ubovu wa sekta binafsi kushirikiana na serikali. Na mfano wa upuuzi huo ni mradi wa IPTL. Sasa tena yanakuja kwa ksisingizio cha uwezo mdogo na bhla!-bhla! Yaonekana uswahili na ujinga hautakwisha na hakika shida kubwa ni hiyo! Kila rais anataka awe mfanyabiashara. Niliwahi sikia akiwa ni makamu bado alikuwa akipiga za wafanyabiashara na kuwalinda. Sasa ana makucha yake mazuri, tutakoma.
Malori ya Jiwe yalikuwa hayapiti mizani na hata yakipita ni kufanya compliance tuu ,najua nachoongea when it comes to Mayanga Construction..Shida si kufanya biashara, tatizo biashara zako ni halali? Biashara zako hazikwepi kodi? Malori uliyoingiza yote yamelipa kodi stahiki? Je, utumii nafasi yako kujipendelea kupata kazi?
Viongozi waandamizi kufanya biashara mara nyingi uuwa biashara za washindani wake kwa kuwapa pingamizi mbalimbali kama kodi zaidi, kupata kazi bila kufuata taratibu, hivyo wengine wanashindwa kushindana kihalali!
Unataka wafanyabiashara watishwe na wauawe kama alivyokuwa akifanya Magufuli? Rais Samia anafanya kazi kwa uangalifu na anajua anachokifanya. Rais wetu yupo makini.Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani!
Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya TANESCO.
Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena.
Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.
Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali!
SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!
Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.
Ndio maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali.
Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Na Magufuli aliikutaje nchii iliyokuwa na rais dhaifu?The same kwa Samia ,amechukua Nchi hakuna hata pesa huko Hazina kidogo iwe kama Sri Lanka..
Bila ule mkopo wa uviko 19 mungeisoma namba kama Zimbabwe.
Ilikuwa vizuri sana,Na Magufuli aliikutaje nchii iliyokuwa na rais dhaifu?
Sasa kama kila kitu kilikuwa perfect kwanini aliitwa rais dhaifu?Ilikuwa vizuri sana,
Uchumi unakua kwa 7.2% ukaanguka hadi 4%,
Serikali inatoa ajira,yeye hakuna alichofanya,
Fedha za kigeni ziko za kutosha,yeye zikashuka,
Mtaani kuna pesa ,yeye akaleta vyuma kukaza,
Kilimo kinastawi hadi ruzuku ya Mbolea,akafuta na kuvuruga kilimo.
Mahusiano ya Kimataifa yako poa akavuruga kabisaa hadi kuzuiliwa pesa,kukamata ndege,kuondolewa kwenye Programu mbalimbali kama MCC nk
Na ushenzi msingi alioufanya ndio maana tumeanza upya chini ya Samia.