Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Nimeshangazwa na mleta madaUmezungumzia elimu kwa maana ya majengo tu? Vipi kuhusu walimu, mazingira ya kujifunzia na ubora utokanao na hiyo elimu?
Nitajie watoto wa mawazir watanp wanaosoma kwenye shule zilizo boreshwa na SSH
Vitabu vipo vya huo mchepuo mpya!? Walimu wamepata mafunzo ya mchepuo mpya?Eilimu
Elimu
Elimu
Na zaidi kaanza kubadili mfumo wa Elimu kuanzia mwaka 2023, kuondoa ule mtaala wa kukaririshana. Mfano elimu ya msingi Sasa kwenda Hadi form 4 kwa maana ya baada ya std 6 watoto wataingia Moja kwa Moja form 1 kwa masomo ya michepuo na stadi za kazi.
Mama anafanya mengi yaliyoshinda wanaume waliomtangulia.
Hongera Dkt Samia.