GE2025 Rais Samia amekumbwa na nini? Mbona anajivuruga kiasi hiki kwenye hotuba zake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,555
Reaction score
4,758
Wasalam.
Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona mnapaniki kiasi hiki na kujichanganya? Mnalaani ikani au mnanadi?

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.

​
 
Mama anasoma vi memo ndo tatizo kubwa nililoliona kwenye hotuba zake..!!
Anifunze kuongea vya kwake .

Lakini kulosea matamshi ni jambo la kawaida ndio maana muungwana kaomba radhi.
 
Trekta 10M manake kila watanzania 6 watamiliki trekta lao nafikiri itabidi tuagize madereva kutoka nchi jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…