GE2025 Rais Samia amekumbwa na nini? Mbona anajivuruga kiasi hiki kwenye hotuba zake

GE2025 Rais Samia amekumbwa na nini? Mbona anajivuruga kiasi hiki kwenye hotuba zake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wasalam.
Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona mnapaniki kiasi hiki na kujichanganya? Mnalaani ikani au mnanadi?

Huyu mama kachoka bado yuko Morogoro tu...???

Huku si kukosea kwa kawaida. Hii ni dalili ya mchoko mbaya na wa hatari kabisa kwa uhai wake...

Inaonedha wazi kuwa, akili na mwili wake vimeshachoka vibaya. Roho na nafsi zimekufa. Mwili unavutwa kama boya...

Muda si mrefu asipokuwa makini, watamalizia na kuua huo mwili wake....!!!

Wanamtandao wanamtumia kama toilet paper. Akimaliza kazi waliyompa kuifanya, watamtoa ktk picha...

Ameonywa, lakini haelewi wala hasikii...

Let her get what she want...
 
🤣🤣🤣 nimecheka sana mkuu, hata mimi najitahid kuukomesha mdomo wangu,maana tunapoelekea tutajiponza.
Mdomo usije ukaniponza bure nikajikuta akaunti yangu imefutwa jf
 
Ni kweli.

Wewe unafikiri kwa nini Ummy Mwalimu katilewa kwenye Cabinet halafu kakatwa kugombea ubunge?

Alisema ukweli kwamba Bibi Chura analeea sana Scotch Whisky.

Mwenyewe akasikia akamtoa.

Ukiza watu wa Ikulu kama hawataogopa watakuambia.
Aisee,shukran
 
Vimemo vya kuvisoma ni vingi kuliko hotuba yenyewe, lazima uchanganyikiwe. Alaumiwe muandaa hotuba...alitakiwa amuwekee Kila kitu humo.....yaani unakuwa mgombea unaandaliwa material za kutembea nazo, unapita unakuwa rais unapewa material hutakiwi kutoka nje...lazima uchanganyikiwe kwa wakati wako
 
Back
Top Bottom