GE2025 Rais Samia amekumbwa na nini? Mbona anajivuruga kiasi hiki kwenye hotuba zake

GE2025 Rais Samia amekumbwa na nini? Mbona anajivuruga kiasi hiki kwenye hotuba zake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
 
Mama anasoma vi memo ndo tatizo kubwa nililoliona kwenye hotuba zake..!!
Asitumie vimemo, asome kabisa neno kwa neno. Hiyo akili ya kutumia vimemo hana! Na bahati yake wamemfungia Lissu haki ya nani alikuwa anavua gagulo jukwaani!
 
Tutaona mengi sana
Hapa yamepita mabasi zaidi ya 10 mapya
Naona sijui yametoka kusoma watu huko Momba.
Kazini kwa Mama Kuna kazi.
Nkamu ss hivi ukiishiwa nauli usiwaze vaa shati la kijani panda bus, ukifika unakotaka shuka kaendelee na majukumu yako..!!

Mama ametufikia kazi na utu 😹
 
Mke wangu kumbe shosti yako?
Kesho usiondoke kabla sijarudi jicheleweshe nikuone kisura okay?
Ahahahahaha! Kwani unafikiri ukiondoka anabaki ndani? Huwa tunakutana sehemu. We mwambie akulete utanikuta! Ahahahahaha!!
 
Wasalam.
Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona mnapaniki kiasi hiki na kujichanganya? Mnalaani ikani au mnanadi?


Week ya kwanza tu hiyo. Imagine baada ya mwezi moja itakuwaje. No wonder Wapinzaji wamewekwa kando.
 
Nkamu ss hivi ukiishiwa nauli usiwaze vaa shati la kijani panda bus, ukifika unakotaka shuka kaendelee na majukumu yako..!!

Mama ametufikia kazi na utu 😹
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Kesho naenda Tunduma
Asante Nkamu
Ngoja nitafute blauzi yangu ya kijani niokoe elfu 5 yangu.
Uzuri huku wametuletea mabasi mapyaaa,hatubebwi na matipa.
 
Trekta 10M manake kila watanzania 6 watamiliki trekta lao nafikiri itabidi tuagize madereva kutoka nchi jirani.
Chanel ya vituko huko ahera🤣🤣
 

bandiko murua kabisa kutoka maktaba. Watawala wajitafakari.
 
Back
Top Bottom