Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Bora hata angesema kila kijiji kutakuwa na trekta,siyo trekta million 10Trekta 10M manake kila watanzania 6 watamiliki trekta lao nafikiri itabidi tuagize madereva kutoka nchi jirani.
Bora hata angesema kila kijiji kutakuwa na trekta,siyo trekta million 10Trekta 10M manake kila watanzania 6 watamiliki trekta lao nafikiri itabidi tuagize madereva kutoka nchi jirani.
😂😂😂Ni SAMUYA sio SAMOYA 😹😹😹
SIO kwamba anapenda kichwani pako emptyMama anasoma vi memo ndo tatizo kubwa nililoliona kwenye hotuba zake..!!
The fall of CCM 1995-2025.Wasalam.
Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona mnapaniki kiasi hiki na kujichanganya? Mnalaani ikani au mnanadi?
Alisema hakusoma sana..!! 😥SIO kwamba anapenda kichwani pako empty
Busara ni kukausha...Mdomo mdomo mdomo nimekuita mara 3 usije ukaniponza akaunti yangu ikapigwa komeo
Watakuja kulani inadiBora hata angesema kila kijiji kutakuwa na trekta,siyo trekta million 10
Baada ya kuona hawezi kushindana na lissu aliamua kutengeneza wapinzani wa kuchonga akina CHAUMMA
Si bora hata ingekuwa hivyo.Trekta 10M manake kila watanzania 6 watamiliki trekta lao nafikiri itabidi tuagize madereva kutoka nchi jirani.
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣