Rais Samia ameonesha udhaifu mkubwa; sasa itaonekana kesi dhidi wapinzani zina mkono wa Serikali

Naichukia serikali hii ya mama. Ni dhaifu kwenye mambo ya msingi.
Udhaifu ulikuwa kwa lile Lirundi liuaji ambalo halikuwa na confidence bali lilikimbilia kuua na kunyima watu haki kwa kutumia vyombo vya dola, nchi imerudi kwenye mstari na raia wanaishi bila hofu za kuuawa, kutekwa au kubambikiwa kesi.
 
Mnao uhuru wa kukatia rufaa maamuzi ya DPP, sioni sababu ya wewe na wenzako kuja kulalamika humu. Kama mnao ushahidi nendeni mkakate rufaa
Exactly.
 
usi panic mkuu, haya maisha tunapita. hakikisha watoto wanakula na kusaza
Ndiyo raha ya maisha hasa pale watoto wanapokula na kusaza huku ukiwa na amani ya moyo bila hofu ya kutekwa au kuuawa kwa sababu ya kutofautia kiitikadi na serikali iliyopo madarakani.
 
Pole Sana kwa kubaki MJANE wa Sabaya.
 
Ameshindwa kuleta ushahidi wakati kwa ushahifi wa dpp mbowe kaonekana ana kesi ya kujibu?! Mama kakosea kwelikweli kwa kutowajua chadema. Chadema watamsumbua sana.
Unadhani kwa nini DPP pamoja na ushahidi wake uliotukuka kaamua kusema po?

Amandla...
 
Jiwe aliligawa taifa na alifanya kutofautiana kiitikadi na utawala ikaonekana ni sababu tosha ya kumshababishia mtu kuuawa au kutekwa na kuteswa na wapumbavu walishabikia.
Umeeleza point muhimu sana ya kwamba 'Watanzania' hatuko hivyo, hii inanitafakarisha kuhusu uraia wa mwanzilishi wa utesaji na uuaji wa raia kisa tu hawakubaliani na itikadi zake hata wale walioshangilia raia kuteswa pia hawakuwa waki-reflect 'Utanzania'.
 
Tatizo Sabaya ana damu ya kunguni, hakuna anayemtetea. Mbowe ametetewa kuanzia ACT Hadi Viongozi wa dini.
Si suala la damu ya kunguni, yule ni jambazi na ushahidi uko dhahiri hivyo hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kumtetea.
Kesi ya Mbowe hata wale waliokuwa wakiishabikia walikuwa wakielewa fika ya kuwa ni kesi ya 'kimchongo' ila huamua kujitoa ufahamu kwa sababu za ushabiki.
 
Hayo yaliyoelezwa mahakamani ni kweli Mbowe alifanya, ila ni figisu za kisiasa tu, ni mambo ya kawaida sana kwenye kugombea power za kisiasa, kuna mambo makubwa zaidi akina fulani wamefanya kuliko hayo Mbowe aliyofanya, Ndiyo maana roho zimewasuta!
 


Unachekesha pale unaposema “ sasa itaonekana” yaani ni mazuzu tu ambao walikuwa hawaoni😂
 
Na wale mawakili mliyokua mnaimba kuwasifu mbona mumeangukia miguuni kwa mama wala kesi hamjashinda. Uhodari wa matusi tu. Ndio mkome kuwaza kutumia nguvu maana kila uchaguzi mtaangukia pua kwa huu ujivuni mliokua nao.
Wale mawakili wasomi ndio waliosababisha dpp ajinyee na kufuta kesi
 
Sidhani kama hata wewe umeelewa ulichokiandika, pole kwa mmeo
 
Hi kesi nnilitaka Zaid iende mbele tuone Zaid yaliyokuemo kuliko hz ngojera Mara hatuombi msamah blaah blah kibao

Mara mnawatumia viongozi wa dini kwenda kwaombea msamaha tushike lipi

Nina imani Kama siyo hao maskofu jamaa alikuwa anaenda kufungwa kwa nguvu ya state house
 
Nadhani kuna jambo kubwa sana nyuma yake, muda utaongea
 
Hayo yaliyoelezwa mahakamani ni kweli Mbowe alifanya, ila ni figisu za kisiasa tu, ni mambo ya kawaida sana kwenye kugombea power za kisiasa, kuna mambo makubwa zaidi akina fulani wamefanya kuliko hayo Mbowe aliyofanya, Ndiyo maana roho zimewasuta!
Ingekuwa amefanya DPP asingeifuta kesi, muhalifu wa ugaidi hawezi kuachwa kizembe na wangehakikisha wanaweka ushahidi kuidhihirishia dunia. Upumbavu uliojidhihirisha mpaka wanamaliza kutoa ushahidi wao hapakuwa na kitu chochote 'solid' cha kuthibitisha ugaidi au hata jinai nyingine yoyote ile, wastage of money, resources and time.
 
Thats why nikasema walichofanya akina Mbowe ni figisu za kawaida sana za kisiasa, sasa yule aliyekuwa anamsaka Mbowe alikuwa hajui siasa, na yeye alikiri hilo, na kuna watu wakamshangilia, Rais asipokuwa mwanasiasa ni shida Ref. Trump US
 
Reactions: Qwy
Kuna video zikimuonyesha Sabaya akifanya uhalifu. DPP ameshindwa kuleta chembe ya ushahidi inayomuhusisha Mbowe na ugaidi. Au mlitaka kumfunga kimenomeno?

Amandla...

..nashangaa kwanini ule mtambo ulionasa sauti za Nape, January, na Membe, haukutumika kumnasa Mbowe akipanga ugaidi.

..vifaa vya kumnasa Mbowe vilikuwepo na kama havikutumika na badala yake wakataka kumtia hatiani kwa maneno ya kuunga-unga maana yake ni kwamba Mbowe hakuwa na makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…