Rais Samia ameonesha udhaifu mkubwa; sasa itaonekana kesi dhidi wapinzani zina mkono wa Serikali

 
Nyinyi Magufulists inabidi awamu hii ya Samia muwe wapole, hamna jeuri ya kumuendesha SSH kwa remote control. Inawezekana JK kuna kipindi anaiendesha nchi akiwa Msoga lakini naamini ni kwa muda tu na sababu haswa ni uzoefu wake akiwa kama mstaafu mwenye nguvu kati ya wawili walio hai kwa sasa.

Mtakuwa mnaumia mioyoni kila mara kwani SSH anafanya anavyoona inafaa, hiyo nongwa ya SSH kuwa kaurithi urais kutoka JPM inakwenda ikipoteza nguvu kadri muda unavyozidi kupita.
 
Nongwa ya mataga haitopoteza nguvu, wataibuka nayo 2025
 
Mbona mwoga sana wewe?

Na kwanini unajaribu kuulinda woga wako kwa gharama ya utu na uhai wa wenzako...?

Kama serikali yako inatenda vyema na mema kwanini uwe na hofu na wakosoaji kwa sababu it's obviousily that, hawana cha kukosoa...!!?

JIBU NI MOJA TU;

CCM na serikali yenu mna hofu na mnajaribu kuzuia sauti pinzani na za kuwakosoa kwa sababu mnajua hamja meet matarajio ya wana wa nchi hii....!!

If this is the case, then, you know what now..?

IT'S SIMPLE....., YOUR TIME IS OVER...!!

JUA KALI LINAANZA KUIWAKIA CCM.....
 
CCM tunatakiwa tupigie upya mikakati yetu ili iendane na Rais wa sasa. Huyu ni tofauti mno na Marais waliopita hasa wa awamu ya 5. Hataki zile Fujo zetu.
 
Maneno ya hekima ya mwenyekiti Freeman Mbowe leo tarehe 4 March 2022


KAULI YA MBOWE YA KWANZA BAADA YA KUTOKA GEREZANI, ATOA TAMKO KWA WAFUASI WA CHADEMA NA WATANZANIA.. HATIMAYE Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ameachiwa huru baada ya DPP kuwasilisha mahakamani hati ya kutakuwa na nia ya kuendelea na kesi.
 
hivi jambazi na gaidi nani hatari sana kwa nchi yetu? eti jambazi anafungwa gaidi anaachiwa
 
Mleta mada tatizo lako ni akili yenye kufikiri basi ndio haipo na ukikosa akili unabaki kuwa mshabiki tu.
 
Kwani ni uongo kuwa ni kesi za kutunga na kukomoana?
Ulithibitisha vipi? Hii ilipaswa kumalizwa mahakamani. Leo chadema mnashangilia (Uhuru wa mahakama kuingiliwa) Ila mkae mkijua mmekalia kuti kavu
 
Joh! Yaani mpaka hapo umenifurahisha kwa kukiri openly kwamba wewe una-front kambi dhaifu ya the so called "Magufulists" aka Sukumagang! hiyo tafsiri yake rahisi ninyi ni watu mnaosukumwa na emotions (Jazba) badala ya logic (mantiki)!

SSH na timu yake wameongozwa na dira ya maslahi mapana ya kitaifa, CDM hoja yao kwamba Mbowe sio gaidi imeshinda na kubwa zaidi ni TAIFA mama TANZANIA limeshinda, hicho ndio cha msingi, tusonge mbele yaliyobaki ni historia.
 
Reactions: Qwy
Yanayokuja ni wahuni kudhibiti mambo huku cdm wakiendelea na kupepeta mdomo kwenye mikutano isiyokua na tija kwa maendeleo ya nchi
 
Lakini huyu huyu Samia mlikuwa mnamtukana.
 
Mbowe hakuwa gaidi na mama kafanya vizuri sana,,,tunarudi enzi za JK ambapo democracy ilikuwa inaheshimiwa...2025 mama atapita kwa kishindo sana,,na upinzani utarudi bungeni...Kila mtu atapewa uwanja sawa wa mapambano
 
Kesi za kubumba hata kama angekaa ndani miaka elf 2 still wasingweza mfunga naona wameamua kuweka aibu pembeni.
 
Kesi za kisiasa dunia nzima ndio zilivyo angalia Rwanda, Uganda wale waliopo madarakani huwatengenezea wapinzani wao ili wasiende ikulu . Hii haihitaji shule kubwa kichwani kuelewa madame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…