Rais Samia ameongeza Bilioni 654 bajeti Mikopo Elimu ya Juu


Acheni propaganda, ada laki mbili ndio mkopo gani?. Shughulikeni na mikopo acheni kujisafisha.
 
Hiki wanachofanya ni siasa zisizo na uhalisia, kuna wanafunzi kibao hawajapewa hiyo mikopo na wengine wana mwezi tangu wamefungua vyuo hakuna pesa waliyoingiziwa, hivi mnaposema uongo ni kwa manufaa ya nani hasa!!??
Kuna mwanafunzi ametokea Kigoma alikuwa anahaha auze simu apate nauli arudi kwao, hizi ni siasa za maji taka
 
Kwani ni zake hizo pesa ama ni za Serikali?
 
Samia hizo pesa zote ametoa wapi?

Analipwa mshahara kiasi gani kiasi cha yeye kutoa hizo pesa mfukoni mwake.?
 
Yaani kila mtu alitakiwa kupata sio hini ya milioni tatu. Lakini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…