Rais Samia amepoteza ushawishi kwa wananchi

Pro-Chadema wengi wao ni watu wa kishikiwa akili wanakubalina kila pumba alimuladi ziwafurahishe tu eti wanakubalia mtaani kuna wafuasi wengi wa Chadema🤣🤣
 
Nahisi kuna ukweli kwenye hoja hii, kingine ni Rais kupoteza nguvu kwa vyombo vya dola hasa Police na wizara ya fedha. Hii ni hatari sana, je nani atakaetupa hali ya uchumi wetu ipoje kwani hizi tozo ni nyingi ni dalili ya kukosa uwezo wa kukusanya kodi kwenye vianzio vya kawaida kama biashara, exports, kilimo, nk. kwani vyanzo hivi vya tozo vinaonekana kama ni vya mpito tu kwani nchi haendeshwi kwa ukandamizaji w wananchi wake.
 
Pale alipotamka neno chokochoko ndipo graph ikashuka ghafla
Yakafuatia mengine kama kesi ya Mbowe, Tozo nk
Haya mambo yamemahusha vibaya mno
 
Alipokuwa makamu wa rais amewahi kupiga marufuku neno "kwiyo", yaani hata lugha anaiingilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…