Pre GE2025 Rais Samia amepunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI - Waziri Ummy

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Katika Hotuba yake Bungeni, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake, amezungumza mambo mengi mazuri sana na ya kueleweka.

Isipokuwa mimi labda kutokana na uchovu wa mwili , sijaelewa kwenye jambo hili , naomba Aliyeelewa anieleweshe



Natanguliza Shukrani
 
Aiseh huyu mama atavimbiwa na kupasuka kwa sifa!
 
Yaani siku tukimpoteza Mama, Tanzania itakufaa
 
Labda nae anasifia ili watoto waende shule kama Nkamia!
 
chadema mnashangaa nini mlitegemea mambukizi yapae juu ,kwa huyu mama mmenoa kwani anazidi kuipa kipaumbele sekta ya afya kila kukicha
 
Kuna mwaka wazungu waliahidi dawa ya UKIMWI itakuwa imepatikana kufikia 2030.

Hisia zangu;
Virus vya UKIMWI vimepungua nguvu kadri miaka inavyozidi kwenda.

Wazungu wanaweza kuja kulipua gonjwa lingine kali baada ya UKIMWI kukosa dili!

Leo hii watu wanapigana mashine sana tofauti na zamani lakini UKIMWI umepungua nguvu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…